Kikosi kazi cha timu ya Break Point wakati wa masha la Nyama Choma leo viwanja vya Leaders Club jijini Dar ambapo timu tano zilishiriki. Timu hizo ni pamoja na TBL Sports Club, Break Point Sports Club, Ubungo Kibangu Sports Club, Mshikamano Sports Club, Namanga Sports Club na Octers Sports Club. Namanga SC ndio walioibuka washindi kwa kuwafunga Break Point kwa bao 1-0. Hata hivyo mfadhili mkuu wa Break Point Papaa Fredito Butamu Mopao amesema wanakata rufaa kwa kuwa Namanga imeleta Yosso kucheza halaiki, na kwamba waandaaji wakiigomea rufaa yao wataandamana hadi TFF.

Duh! hao mapacha wa kibangu wanafanana hadi vitambi!!
ReplyDelete