Mojawapo ya washiriki wa fainal za Nyama Choma
Kikosi kazi cha timu ya Break Point wakati wa masha la Nyama Choma leo viwanja vya Leaders Club jijini Dar ambapo timu tano zilishiriki. Timu hizo ni pamoja na TBL Sports Club, Break Point Sports Club, Ubungo Kibangu Sports Club, Mshikamano Sports Club, Namanga Sports Club na Octers Sports Club. Namanga SC ndio walioibuka washindi kwa kuwafunga Break Point kwa bao 1-0. Hata hivyo mfadhili mkuu wa Break Point Papaa Fredito Butamu Mopao amesema wanakata rufaa kwa kuwa Namanga imeleta Yosso kucheza halaiki, na kwamba waandaaji wakiigomea rufaa yao wataandamana hadi TFF.
Mshikamano SC
Kocha wa Mshikamano James Kisaka akitoa
mawaidha wakati wa mapumziko

Namanga Sports Club, Mabingwa wa Mwaka
huu wa Nyama Choma bonan
za
Benchi la ufundo la Brake Point
TBL Sports Club
Octers Sports Club
Ubungo Kibangu Sports Club
Kina Ngajua, Mapacha wa Kibangu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh! hao mapacha wa kibangu wanafanana hadi vitambi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...