

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lini itakuwa zamu ya Serikali Ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kukutana na Tanganyika (aka Tanzania bara) baada ya kikao hiki na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?
ReplyDeleteMie nashangaa kutomuona mshiriki wa pili katika mazungumzo hayo naye ni Tanganyika!!!!!
ReplyDeletehuu muungano ufe. hebu oneni vituko hivo. makamu wa raisi mzanzibari, halafu waziri mwenye porfolio ya muungano ktk ofisi ya makamu wa raisi tena ni mzanzibari. teuzi za jk hizo, halafu wananchi tukilalamika mnasema eti udini. MUUNGANO UFEEE!!
ReplyDeleteNaungana nanyi kudai Tanganyika na kutaka MUUNGANO UFE. Tunakuombeni ndugu zetu wa Tanganyika mtuunge mkono sisi(Wazanzibari)tuwe na sauti moja ili haya yafanikiwe.SOTE TUMECHOKA NA MUUNGANO WA KINAFIKI.
ReplyDeletejamani ndugu zetu wa tanganyika hebu andamaneni ndio watajua kuwa na nyie mnataka Tanganyika-hebu tuuwe huu muungano jamani tunasubiri nini-Unafiki mtupu-ulaya unaingiza bidhaa nchi zote 27 hulipi cent ya ushuru au ukilipa unaidai nchi yenu-hapo ukitoa kibegi tu kwenda bara mabegi yanapekuliwa-afadhali zanzibar unatoka huulizwi-TUMECHOKAA JAPO TUPO NJE YA NCHI
ReplyDelete