
MAREHEMU MZEE THOMSON MAKWINJA MWASHAMBWA
We believe that Jesus died and rose again, and so we believe that God will bring with Jesus those who have fallen asleep in him."-1 Thessalonians 4
Baba, rafiki, ndugu yetu leo tarehe 04/03/2011 umetimiza Miaka 8 tangu mwenyezi Mungu akuite,tunajua tulikupenda sana lakini Mwenyezi Mungu alikupenda Zaidi.
Utakumbukwa daima na Mke wako,Filly M. Mwashambwa, watoto wako Joy,Cristopher,Willy,Alice,Samuel and Emma.
MAY U REST IN PEACE OUR LOVELY PAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...