Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimkabidhi nahodha wa timu ya netball ya TBC1 Jane John kombe la ubingwa wa mchezo huo wakati wa bonanza la Media Day lililofanyika wikiendi hii Cine Club jijini Dar na kushirikisha vyombo vyote vya habari. Bonanza liliandaliwa na TASWA na kudhaminiwa na TBL kupitia kilaji chake cha Kilimanjaro.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mkuu Michuzi,

    Sidhani kama tuna waziri katika serikali ya awamu ya nne anayeitwa Dkt William Nchimbi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...