Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimkabidhi nahodha wa timu ya netball ya TBC1 Jane John kombe la ubingwa wa mchezo huo wakati wa bonanza la Media Day lililofanyika wikiendi hii Cine Club jijini Dar na kushirikisha vyombo vyote vya habari. Bonanza liliandaliwa na TASWA na kudhaminiwa na TBL kupitia kilaji chake cha Kilimanjaro.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Mkuu Michuzi,
ReplyDeleteSidhani kama tuna waziri katika serikali ya awamu ya nne anayeitwa Dkt William Nchimbi!!!