MAMA YETU MPENDA MAMA ASHA NASIB SHEFA( DA ASHA) AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO JUMATATU TAREHE 7 MARCH HOSPITALINI AGAKHAN JIJINI DAR BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU.
MAZISHI YATAFANYIKA HUKO TANGA KESHO JUMANNE TAREHE 8 MARCH BAADA YA SWALA YA DHUHRI. Marehemu ameacha watoto watano na mume na maisha yake yote alikuwa mtumishi katika idara ya mapato (TRA). MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA
- AMIN.
MAZISHI YATAFANYIKA HUKO TANGA KESHO JUMANNE TAREHE 8 MARCH BAADA YA SWALA YA DHUHRI. Marehemu ameacha watoto watano na mume na maisha yake yote alikuwa mtumishi katika idara ya mapato (TRA). MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA
- AMIN.
Poleni sana ndugu na jamaa wa karibu na hata watu wote mlioguswa na msiba huu. Tumwombe mungu atupe nguvu katika kipindi hiki cha kuondekewa na mpendwa wetu, bila kusahau yote ni mapenzi yake aliyetuumba. Pole sana Rafiki yangu mpenzi Fatma. Salaam kutoka UK kwa rafiki yako mpenzi.
ReplyDeletePolen sana wapenzi wangu Viwe na fatu na wote mnaoguswa na msiba huu mungu atawapa nguvu na subira. Mungu katupa na katwaa Mungu amuweke mahala pema Amin
ReplyDeleteMdau Stockholm
Mungu amuweke mahali pema kwa kweli huyu dada alikuwa mtu mzuri kupita maelezo. Tulimpenda lakini mungu kampenda zaidi.
ReplyDeleteMdau TRA
Ina lillahi wainna ilaihi rajiuun. Pole sana fatuma na wafiwa wote, inahitaji subura ya hali ya juu. Twamuombea dua anakokwenda kuwe ni bora zaidi ya alikotoka, amini.
ReplyDeleteWajina lako, Washington DC.
Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiuun.
ReplyDeleteWords cannot heal the pain of losing someone so dear. Our mom will always remain close to our heart because she left behind beautiful memories for us to cherish. May God give us the strength to overcome the pain. AMEN
Poleni sana Viwe na wadogo zako, inshallah Mungu atakupeni moyo wa subira na uvumilivu, dua zetu ndio zawadi kubwa kwa marehemu tuko pamoja na nyie katika kuomboleza msiba huu, Mungu atamjaalia mapumziko mazuri huko aendako. Amin.
ReplyDeleteStockholm.