Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Bw.Jerry Silaa akipata maelezo ya picha mbalimbali kutoka kwa msanii wa picha za kuchora , Shama Jaffer(kulia) wakati wa uzinduzi wa kituo Ujamaa Arts Gallery uliofanyika Dar es Salaam juzi.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Bw.Jerry Silaa akipata maelezo ya picha mbalimbali kutoka kwa msanii wa picha za kuchora , Shama Jaffer (kulia) wakati wa uzinduzi wa kituo Ujamaa Arts Gallery uliofanyika Dar es Salaam wikiendi ilopita. Katikati ni Mkurugenzi wa kituo hicho,Lorna Mashiba na mke wa meya huyo, Mama Anna Slaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal, hujasema kwamba mauzo ya kazi zote za sanaa zilizokuwepo siku hiyo na kwa wiki nzima inayofuata yataenda kusaidia wahanga wa janga la mabomu la Gongo la Mboto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...