
Habari toka Lagos, Nigeria, zilizoingia sasa hivi zinasema supa modo wetu anayefanyia kazi zake Afrika ya Kusini Flaviana Matata ameibuka kuwa modo bora wa mwaka katika tamasha la Arise Magazine Fashion Week linalohitimishwa usiku huu huko Lagos. Habari zaidi zitarushwa mara tu baada ya kupatikana. Globu ya Jamii inampongeza Flavvy na kumtakia mafanikio zaidi.
demu bomba we acha akandamize tuuuuuuuuuu wakilisha mdada
ReplyDeletehuyu dada ni jembe big up flavian u rock.boaz mza
ReplyDeleteLazima ang'are tuu mtoto wa ukweli kawafunika mamodel wote hata model M tupa kuleee gooo flavie gooooooo!!!
ReplyDeleteHongera sana!
ReplyDeletejamani naomba namba ya huyu mrembo jamani nahitaji kuoa mimi
ReplyDeleteWe mdau hapo juu kama ulikuwa ufahamu habari ni kwamba nimemchumbia huyo binti tafadhali acha maswala ya utani.Vinginevyo nakutakia afya njema ili upate mrembo mwingine.
ReplyDeleteUyu dada kila siku yeye anakata anafunua kisha anafunika. Kudadeki. Big up sana.
ReplyDeleteNaivi dozi ya loliondo ipo, mdada kama huyu atokee kuangukia mikononi mwangu, heheeeeeee mwenzenu natereeeeeeeeeeezaaa tartiiiiiiibu.
ReplyDelete