Supa modo Flaviana Matata

Habari toka Lagos, Nigeria, zilizoingia sasa hivi zinasema supa modo wetu anayefanyia kazi zake Afrika ya Kusini Flaviana Matata ameibuka kuwa modo bora wa mwaka katika tamasha la Arise Magazine Fashion Week linalohitimishwa usiku huu huko Lagos. Habari zaidi zitarushwa mara tu baada ya kupatikana. Globu ya Jamii inampongeza Flavvy na kumtakia mafanikio zaidi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. demu bomba we acha akandamize tuuuuuuuuuu wakilisha mdada

    ReplyDelete
  2. huyu dada ni jembe big up flavian u rock.boaz mza

    ReplyDelete
  3. Lazima ang'are tuu mtoto wa ukweli kawafunika mamodel wote hata model M tupa kuleee gooo flavie gooooooo!!!

    ReplyDelete
  4. Hongera sana!

    ReplyDelete
  5. jamani naomba namba ya huyu mrembo jamani nahitaji kuoa mimi

    ReplyDelete
  6. We mdau hapo juu kama ulikuwa ufahamu habari ni kwamba nimemchumbia huyo binti tafadhali acha maswala ya utani.Vinginevyo nakutakia afya njema ili upate mrembo mwingine.

    ReplyDelete
  7. Uyu dada kila siku yeye anakata anafunua kisha anafunika. Kudadeki. Big up sana.

    ReplyDelete
  8. Naivi dozi ya loliondo ipo, mdada kama huyu atokee kuangukia mikononi mwangu, heheeeeeee mwenzenu natereeeeeeeeeeezaaa tartiiiiiiibu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...