Vijana wa Lumumba Theatre Group wakifanya dansi ya wazi kwa hadhira ya Coco beach. Hii ni sehemu ya dansi walizoanza kufanya wiki iliyopita katika viwanja vya Ubungo Standi ya Mkoa, na Kariakoo sokoni.

Dansi hizi zilidhaminiwa na Alliance Française de Dar es Salaam ( Kituo cha Utamaduni cha Kifaransa) na Goethe-Institut.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alliance Francaise de Dar Es Salaam SI CHUO BALI NI KITUO CHA UTAMADUNI CHA UFARANSA.

    ReplyDelete
  2. Anon 10:55:00 AM 2011 hapo juu, soma vizuri kabla hujakurupuka - wapi imeandikwa Alliance Francaise ni Chuo?

    ReplyDelete
  3. Ankal, naona umenipiga bao kwa kutumia teknolojia, sawa bwana leo umeshinda wewe!

    ReplyDelete
  4. Wee hapo juu ndio unakurupuka tu basi ilikua imeandikwa hivyo na imebadilishwa...Don't think pp are stupid when they point ot mistakes...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...