Dansi hizi zilidhaminiwa na Alliance Française de Dar es Salaam ( Kituo cha Utamaduni cha Kifaransa) na Goethe-Institut.
Home
Unlabelled
Vijana wa Lumumba Theatre Group wakifanya dansi ya wazi Coco beach
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Alliance Francaise de Dar Es Salaam SI CHUO BALI NI KITUO CHA UTAMADUNI CHA UFARANSA.
ReplyDeleteAnon 10:55:00 AM 2011 hapo juu, soma vizuri kabla hujakurupuka - wapi imeandikwa Alliance Francaise ni Chuo?
ReplyDeleteAnkal, naona umenipiga bao kwa kutumia teknolojia, sawa bwana leo umeshinda wewe!
ReplyDeleteWee hapo juu ndio unakurupuka tu basi ilikua imeandikwa hivyo na imebadilishwa...Don't think pp are stupid when they point ot mistakes...
ReplyDelete