Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjumbe maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa sheria na Mwanasheria mkuu wa Rwanda Bwana Tharcisse Karugama muda mfupi baada ya mjumbe huyo kuwasilisha ujumbe kwa Rais ikulu jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni balozi wa Rwanda nchini Mh. Fatuma Ndagiza. picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. naomba kuwasilisha waziri wa justice huyo anaitwa karugarama tharcisse sio mwanasheria mkuu wa rwanda.mwanasheria mkuu wa rwanda anitwa martin ngoga.


    mdau kigali makazi boxini kusaka chake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...