Home
Unlabelled
mbunge wa mbeya mjini Mh. joseph mbilinyi aka sugu aunguruma kwa mara ya kwanza bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa Sugu umechemsha kuhusu swala la kuwepo kwa stesheni za redio za kikabila,hii itapromote ukabila na kujenga mawazo ya mgawanyiko,chuki miongoni mwetu.Mfano mzuri ni Kenya,wameruhusu mambo hayo ambayo madhara yake yanaonekana na hata vita vya kikabila huwa haviishi kutokana na uchochezi utokanao redioni,kutumia lugha zetu za makabila redioni ni hatari sana,sidhani kama ni wazo zuri
ReplyDeletemtanzania Nairobi,Kenya.
kwanza mheshimiwa ankal naomba nikukumbushie kuna article moja nilikutumia yenye kichwa cha sababu za kudumaa kimaendeleo afrika na tanzania ikiwemo ili tuijadili hapa jukwaani.
ReplyDeletepili nizungumzie mtizamo wa kudai kuziendeleza mila,lugha,jadi flani kwa afrika kumechangia sa katika kutofikia kiwango cha kimaendeleo tukilinganisha na nchi zilizo endelea. hii nikutokana na sababu zile nilizo zitoa ktk ile article kwa upana zaidi. hivo basi naomba kwa mara nyingine irejee kama huku i delete,uiweke jukwaani tuijadili.
PSM
Hapa jamaa kachemsha kwenye kuhusu ukabila na Lugha za kikabila? hii Tanzania na kumbe unajuwa kama wenzatu wanaongea English kinachotofautiana ni uongeaji kumbe unajuwa basi iwachwe kiswahili kitofautiane maongezi ya kiswahili tu. Mie naona sasa unachemsha kwenye Siasa bora ujumbe wako kimuziki tu Kaka. Mi ni Fan kwako kimuziki tu. MM
ReplyDeleteDuuhhh Tanzania kweli tambarare...hadi kuku Bungeni? Au ni masikio yangu hayasikii vizuri? Kazi kweli kweli. Ni kweli kabisa mdau aliyenitangulia hapo juu kanena vizuri...mambo hayo ya ukabila kwenye vyombo vya habari ni hatari sana, Baba wa Taifa alifanya kazi sana kutuunganisha kwa makabila kuwa kitu kimoja na kuongea kiswahili kama Lugha ya Taifa letu...sasa Mh.Sugu, tafadhari usilete ukabila, yaani hapo umechemsha kabisaa, tafuta mada nyingine. Hilo swala ni hatari hata kulizungumzia.
ReplyDeleteHivi hayo ni mawazo ya kambi ya upinzani au yake? Wewe mwenyewe ni mawanamziki wa bongo flava. Je, asili yake ni makabila yetu. Napinga Radio za makabili.. No No No No
ReplyDeleteLets hope haya yawe mawazo yake binafsi na sio ya kambi ya upinzani. anaongea nn huyu Sugu. Hivi anajua baba wa taifa alivyopigania kiswahili na haoni matunda yake. Anataka watu tutambuane kwa makabila, Ala! Ama kweli nimeamini shule muhimu.
ReplyDeleteKwa hili wapinzni mmchemka. Mnataka kurudisha ukabila? Najua haya ni mawazo ya Mh Mbo-wee kwani alishaonesha ukabila siku nyingi sana. Hata vitabu vyake anavyotunga ni vya kikabilakabila. Anataka kupromote uchaga kwa kutumia bunge? Kwa hili CHADEMA mtatukosa. Hatutalisapoti hata kidogo.
ReplyDeleteKiswahili kitamu bwana wee acha! Cha msingi ni kuiacha jamii ichanganyikane vizuri ili kutokee utamaduni mya na si kulazimisha kurudisha mautamaduni ya zamani. Hata wazungu walikuwa na vijilugha vyao wakaviacha na unaona mambo yao yalivyo tambarare. Utamaduni ni kitu kinachozaliwa, kikakua na mwisho kikafa. Kufa kwa utamaduni kunatokana na aina ya maisha yanayotamalaki kwenye jamii kwa wakati huo
Huyu jamaa vipi ?!!!!!!???
ReplyDeleteLugha za kikabila za Tanzania zinatakiwa ziendelezwa ili kukuza kiswahili kwa msamiati, zikifa ina maana Kiswahili pia kitakuwa kwenye hati hati ya kufa kwa kiwa kitakuwa kinatihoa maneno au msamiati mwingi kwenye lugha za kugeni zaidi ya lugha za asili/Kibantu- soma Chimbuko la Kiswahili kwa ufahamu wa lugha. Tunaweza kuongea lugha za kikabila na pia tusiwe wakabila kama ilivyo sasa.
ReplyDeleteSugu, vipi unapenyezewa Agenda isiyo na Maslahi kwa watu wako wala kwa Nchi yako? Umetumwa na nani haya?
ReplyDeletehapana hakuna sababu ya kukataa lugha za makabilayetu maana ndo zilazaa kiswahili
ReplyDeleteWanajua hii hoja ni ya kipuuzi ndio maana wameamua kukusakizia wewe uliye mgeni bungeni.
ReplyDeleteMngemuachia Mbowee mweyewe aisome.
Bwana michuzi unasema tusichafue hali ya hewa kwenye maoni lakini ukisikia mtu ambaye ulidhani analeta mwamko mpya bungeni anaongea maneno kama haya ni vigumu kujizuia.....mawazo yake ni finyu hata mtu asiyekua na shule atajua hatari ya kupromote ukabila...sio lazima uende shule ujue ni ukabila ulio sababisha au kuchangia genocide ya Rwanda , matatizo ya Kenya, Sudan na maeneo mengi tu duniani...afungue BBC au CNN kila siku ataona mifano mingi tu ...ndugu Sugu kunatofauti kubwa sana kati ya kuhifadhi tamaduni kwa ajili ya kuzilinda zisipotee na kurudisha tanzania kwenye hali ya matabaka na ukabila kama ilivyokuwa kabla ya uhuru. na dhani hiyo tofauti ndiyo inayokutatiza.. umekurupuka kusoma hayo mapendekezo ya sheria bila kuyaelewa au kuyatafakari..ukiendelea kwa mwendo huo utakua ni kituko ndani ya bunge..na badala ya kuweka historia ya kuwa mwana bongo fleva wa kwanza kuingia bungeni utakua mbunge wa kwanza kuwa comedian....pole
ReplyDeletejamani! ni masikoa yangu tu au nimesikia JOGOO akiwika in the background? silikiliza kwa makini
ReplyDeleteThe boy need to go back to school...this is nonsense...wasted my 4 beautiful minutes listening to this rubbish...i don know u got long way to go kaka...!!!
ReplyDeleteMh. Mbilinyi, 'airwaves' au matangazo ya redio/television na hata magazeti ni 'public goods', yaani radio/tv stesheni hata iwe ya binafsi bado mawimbi yake watawafikia watu ambao hawaongei 'kilugha' hicho na kuwafanya wajisikie wapweke, hivyo napinga kwa nguvu zote vyombo vya habari/mikutano ya kisiasa/shughuli za serikali kuendeshwa 'kilugha'.
ReplyDeleteKilugha kibakie huko huko ktk majumba ya watu na siyo kupenyezwa ktk vyombo vya habari a.k.a tasnia ya habari.
Kule Kenya kuna jamaa mtangazaji Joshua Sang wa redio ya KASS ya kabila la 'wakalejin'Kenya amejumuishwa ktk kundi la 'Ocampo 6' wakajibu mashitaka The Hague ya kusababisha vurugu za kisiasa Kenya kwa kutumia kituo cha Redio cha kilugha cha Kalejin. Pia huko Cote de Ivore, Nigeria, Sudan, Rwanda/Burundi n.k walianza hivyo hivyo kwa kisingizio cha 'vilugha' kuteka mawimbi ya upepo yaani 'airwaves' na kupandikiza 'ukabila' uliopelekea kupotea 'Utaifa' na kujiweka vipande vipande vya 'ukabila'.
Tanzania bado ni nchi changa ambayo inaweza kutumbukia ktk mtego huo huo wa Redio za Kilugha na kusababisha maafa makubwa ya kijamii.
Acha watu wafanye mambo yao ya unyago, jando,kilugha au matambiko ndani ya 'uwa' za nyumba zao, lakini wasitake mambo hayo ya kikabila/kilugha kuruhusiwa ndani ya vyombo vya habari.
Mdau
Uyole
NO COMMENT
ReplyDeleteheh!this is absurd...mambo ya kikabila ya nini sa hvi?the main reason ya kuwa na lugha moja(kiswahili)ni ili kuleta umoja,unity among pple..sasa tukianza ukabila si itaanza rwanda ya pili(samahani kwa kusema hvi lkn ni kweli)..tujenge nchi yetu sio kuanza kuongelea ukabila..utamaduni unalindwa,haiwezekani nchi nzima iwe na tamaduni moja,we are all different lakini what unites us ni lugha yetu moja ya kiswahili...kila mtu has a right to practice their own tradition lkn kuhusu magazeti,sijui radio hiyo bado na haihitajiki...
ReplyDeletekuhusu sijui unyago,kweli watu wengine wanaanza at an age that is totally unappropriate..watoto waende shule hao..ndio maana siku hizi unaambiwa miaka 14 sio mtoto tena..jamani..waachiwe waende wakasome sio kujua kukatika..loh!mxa,nasema hvyo coz nimesoma na wasichana wandaramo vichwa vibovu,instead ya kusoma watu kujifunza kukatika,mwanzo wa kuendeshwa and ending up with nothing coz hujasoma..unyago and all tht sio mbaya kama ni tamaduni za mtu ila iwe at a certain age