Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati wa Uzinduzi wa Tume ya Utumishi ya Bunge uliofanyika kwenye Ukumbi wa International Conference Centre jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akimtunukia cheti Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda baada ya kumaliza muda wake wa Ukamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge iliyopita kwenye Ukumbi wa International Conference Centre jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wabunge waliomaliza muda wao kwenye Tume ya Utumishi ya Bunge wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi wa Tume mpya ya Utumishi ya Bunge iliyofanyika kwenye Ukumbi wa International Conference Centre leo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na Tume Mpya ya Utumishi ya Bunge na iliyomaliza kazi kwenye Ukumbi wa International Conference Centre mjini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...