Home
Unlabelled
CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI JIJINI MBEYA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa mbona hamjasema haya maandamano yalikuwa yanakusudia jambo gani hasa?
ReplyDeleteanony wa kwanza, na mie najiuliza kulikoni mleta habari wetu kutupasha roborobo utafikiri gazeti la alasiri?
ReplyDeleteKukosa kazi za kufanya tu, hivi wenye shughuli muhimu utawaona hapo? Loosers!!!
ReplyDeleteCHADEMA naona imekuwa jadi kuandamana. Wanaanzia kwenye makao makuu ya mikoa halafu wilaya zote then baadaye kata na baadaye vijiji na hatimaye vitongoji vyote na wakati huo mwaka 2015 wa uchaguzi utakuwa umeshafika. The baadaye wanaanza kampeni. Wanajiandaa jinsi wantavyoingia ikulu kwa maandamano!
ReplyDeletenilitamani kujua dhumuni la maandamano hayo
ReplyDeletedu hujui nini lengo la maandamano chadema ina fanya uenezi wa chama, kuwashukuru wananchi kwa kukichagua kwa kishindo, na vita ya ufisadi mpaka kieleweke.
ReplyDeletedu hujui nini lengo la maandamano chadema ina fanya uenezi wa chama, kuwashukuru wananchi kwa kukichagua kwa kishindo, na vita ya ufisadi mpaka kieleweke.
ReplyDeletenyie chadema kwakweli mnapenda fujo. ni nini kuandamana kila siku. kuna watu kutoka nje au ndani ya nchi wana washawishi au vipi. kazi mnayo takiwa kufanya ni kutafuta wanachama kila sehemu ya tanzania na sio kufanya maandamano. wenzenu wana wanachama kila mji na kijiji tanzania. maandamano hayata waletea ushindi uchaguzi ujao.
ReplyDeletekwakweli tumechoshwa na maandamano ya hao Chadema mie naona hao hawana kazi za kufanya.wanajaribu kutafuta kuingia IKulu kwa nguvu na kujaribu kuua Amani ya nchi yetu
ReplyDeletemafisadi ndo wanaocomment mbovu hapo juu. Mmeridhika na vicent vya vikao na wizi wa mali ya umma bila huruma. Mnasema hawana kazi nyie mkishaiba na kununua magari ya bei ya juu na kuandamana kwenye trafic lights hapo mwaona maisha mmeyapatia, wakati majority wanaendelea kuhenyeka. Kaeni kimya kama mmeshashiba hela za wizi. Alaaaaah
ReplyDeleteCHADEMA wamewaiga CUF wa Zanzibar wameleta fujo mpaka walipoingizwa kwenye serikali wametulia.
ReplyDeleteTatizo Watanzania wameshazoea siasa za kulala usingizi, ukimalizika uchaguzi hakuna siasa, ukifika wakati wa Kampeini mnaambiwa vyama vyama vya msimu msiwachague, sasa mambo hayo yamepitwa na wakati baada ya uchaguzi siasa mpaka uchaguzi mwingine hamuawaoni kenya, siasa makanisani, msikitini, kwenye makongamano, bungeni, kwenye mazishi ndio mambo yalivyo msishangae
ReplyDeleteendeleeni tu kuandamana na ikulu mtaisikia tu wala msiwe na wasiwasi
ReplyDeletemimi hata hawanidanganyi , wanasiasaaaaa woooote wezi , wakipata madaraka tu hawakujui , mi hamnipati hata nikiwa usingizini, bora hawa walioko sasa madarakani wameshashiba angalau kidogo hawaibi sana, nyie CHADEMA mna njaa zenu mkija mtainyonya nchi mpaka ikakuke ....
ReplyDeleteHAMNIPATI