Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akitoa hotuba katika majumuisho ya ziara yake ya siku tatu ya Mkoa wa Mjini Magharibi kulia ni waziri wa nchi afisi ya Rais na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis
Rais wa zanzibar DK Ali Mohd Shein akipokea maelekezo ya ujenzi wa hospitali iliyoko wadi ya Mbuzini mkoa wa Mjini Magharibi kutoka kwa mkandarasi Hawa Natepe kushoto ni Naibu waziri wa Afya Dk Sira Ubwa MamboyaRais wa zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipokea maelezo kuhusiana na utafiti wa zao la mpunga katika kituo cha utafiti kizimbani kutoka kwa afisa mkuu wa utafiti Khatib Juma Khatib wakati wa ziara yake ya Mkoa wa Mjini Magharibi.Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...