Rais wa Chama cha Siasa cha TADEA Bw. Lifa Chipata akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda rasimu ya maoni ya chama hicho yenye lengo la kuuboresha muswada wa sheria ya kuunda Tume itakayoratibu ukusanywaji wa maoni ya kutengeneza Katiba mpya Ofisini kwa Spika leo.
Wadau kutoka vyama vya siasa vya TADEA, CHAUSTA, SAUTI YA UMMA, DEMOKRASIA MAKINI NA JAHAZI ASILIA wakifuatilia mjadala wa kupata njia bora na y a muafaka zaidi kwa ajili ya kuunda tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya leo. Picha na Prosper Minja Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...