VODACOM Miss UDOM 2011, Ester Gerald akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Hawa Nyange (Kushoto) na mshindi wa tatu, Nesia Karata, mara baada ya kumalizika kwa shindano la kumtafuta mrembo wa vyuo vikuu usiku wa kuamkia jana.


Vodacom Miss UDOM 2010 Rachel Sindbard akiwa ameketi tayari kwa kukabidhi taji kwa Esther Gerald alieibuka kidedea katika shindano la Vodacom Miss UDOM 2011.

Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora kwenye shindano la kumtafuta Vodacom miss UDOM 2011, lililofanyika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma usiku wa kuamkia jana.

Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akikabidhi zawadi ya kitita cha shilingi 250,000 kwa mshindi wa shindano la Vodacom Miss UDOM 2011 Esther Gerald.

Jopo la majaji walioendesha shindano la kumtafuta Vodacom Miss UDOM 2011 wakiwa kazini.

Kutoka kushoto Mtaalamu wa Mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiwa amepozi kwenye picha na wadau wa urembo Angaza Geoffrey,Leornad Ephraim wakati wa shindano la kumtafuta mlimbwende wa Vodacom Miss UDOM mjini Dododoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...