Jabir Chatoo

My Fellow Tanzanian’s

l have taken the Liberty of sending this Mail to you all being a Tanzanian myself who has now settled in USA for the past 23 years and have always been linked to Tanzania as l frequent it every six months.

The purpose of this mail is to:

a) Keeping in touch with you all.

b) Communicating or Sharing ideas

c) Seeking information or guidance

d) Needing any products from USA

e) Trading & Technology exchange.

We deal in Excess inventory,Closeout Merchandise on all Brand New products only ranging from Cigarettes, Stationary, Building Materials, Paints, Apparel,Beauty Aids,Cosmetics Diapers,Computers and a wide range of other Merchandise that you may be able to know those who would be interested.

We can also be helpful if there are any particular products that you are wishing to source or agency or dealership.

All Branded products is what we export to various parts of the world.

Please let me know if there is anything that l may be able to assist you here in the USA.

Ahsanteni Sana.

“Mungu ibariki Tanzania”

Best Regards,

Quantum International Trading Inc.

Jabir Chatoo

1421 Pine Oak Trail

Sanford, FL 32773

Tel: +1-407-624-4177

Google: +1-313-444-5786

Mobile: +1-786-797-1751

Tanzanian Mobile: +255-786-252525

Skype ID: jabir.chatoo

AIM: jabirqit

Twitter: mchukuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2011

    Mh! ndugu yyangu wee, rangi yako inavyofanana na Rostam Aziz, subiri sasa wale wafuasi chama cha matusi na maandamano wakuone hapa. Sasa hivi watakuweka kwenye forum yao na kuanza kuulizia cv yako.

    shauri yako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2011

    Sasa kwani huko USA hakuna wateja? Huku nyumbani pesa watu hawana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2011

    tatizo ya awa watu wa rangi hiyo , wanapo taka kutuibiwa wana jifanya wao ni tanzania kweli, tukikutana nao uko majuu wanaukana utanzania.
    SORRY BABA MAISHA BONGO AYASOMEKI KABISA SIKUIZI, VIVAA TU VYA HAPA HAPA NYUMBANI ATUWEZI NUNUA NDO IWE TANZANIA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2011

    Mzamiaji kote kote.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2011

    Mdau wa pili umenichekesha sana na comment yako!! hahahahaaaaaaa... haya bwana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2011

    Kaka nashukuru for intro nta ku contact mimi niko DC!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2011

    Sasa bana Patel kanini tangaja biashara hapa..veve tangaja bishara Canada au India. Hii mitu tasema veve fisadi au toto Rostam Azizi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2011

    ahahahahaahahahahahahahah nakufa kwa kuchekaaa jamani, wewe mdau nambari ya pili umenichekesha sana maana umempa short and clear!!! Good job sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2011

    mdau wa pili acha kusemea watu kama huna hela ni wewe, wenzako tunazo na tutanunua we vipi bwana acha uvivu bongo mihela nje nje!

    mdau, Tandika maguruwe

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2011

    Watanzania kwa maneno ya kuchekesha hawajambo eti veve fisadi au toto ya Rostam Azizi

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 10, 2011

    dada zenu wakipaka ile mikorogo na wakaweka nywele za kafa ulaya mbona mnawasifia ah wamependekeza. Mhaya siku hizi si mweusi tena, ni mhindi kabisa, hasa kipua chake kikiwa kimenyoka aaaah poa. Acheni baniani mbaya kiatu chake kizuri. Nyie, the bush wont come out of the TZ.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2011

    Nitakuunga mkono!!!,Achana nao hao hapo juu wote njaa inawasumbua na ufukara wa mawazo, hawajui dunia sasa ni globle, na adui yako siku hizi sio rangi hata weusi wenzetu tunachunana ngozi na kugeuza bidhaa (Nenda Mbeya ngozi dili),hawana lolote hao hapo wenye comment kama watanzania wote ni malaika.Madini yanaibiwa kutokana na weusi wenzetu kuingia mikataba mibovu kwa10%,kwani mzungu ataanza kuchimba bila kudili na sisi?.

    ReplyDelete
  13. Maoni ya watu wengi yanasikitisha sana MTU akiisha tangaza yupo nje ya nchi Amerika au UK AU Ulaya basi watu wanakuwa kama WACHAWI mnachangia maneno mabaya.
    Tujue mtu akijitokeza sio kwa ajili yako unayesema Tanzania hakuna hela au Tanzania hawana uwezo wa kununua ni wewe na Tanzania ya sasa sio ile ya Mwinyi au Mkapa mambo ni mazuri hata ukilima mashamba pesa ipo,kwa hiyo tuchangie vizuri

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 10, 2011

    jamani nimecheka! nilikuwa nipo down nimecheeeeka loh! Michuzi big up!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 10, 2011

    Congratulations Jabir. Message delivered. Keep it up, achana na waswahili!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 10, 2011

    Well done JABIR. Watanzania wengine tuna MUDA KWELI KWELI! You hang out with wajinga akili yako mtu lazima idumae. Tujiangalie sana. Kuna huduma hapa - use it or leave it for others.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 10, 2011

    Hi Jabir huwa naweka mafuta nikipita hapo Sanford nipo jirani hapo nitakutafuta.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 11, 2011

    Hizo kasumba mlizonazo mtajikuta mnakufa masikini.Huyu jamaa anatangaza biashara zake na nyinyi mnaleta viubaguzi uchwara hapa,waachieni watu wanaotaka kujua biashara yake.Acheni ubaguzi hapa pumbaff.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 11, 2011

    Big up Jabir hivi ndiyo vitu watu wanatakiwa kuweka hapa ndani badala ya kuchafua hali ya hewa... Nitakutafuta Mtanzania mwenzangu achana na waosha vinywa hapo juu..

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 11, 2011

    wabongo bwana mangali choti kabisa! Ndo maana wahindi wanamiliki utajiri wote pale tanzania, wanapeana dili. Jabir anatoa dili ili watu wafanye biashara naye, watu wanaleta UCHAWI na racist jokes! mtaishia kuwa maskini wakati wengine wanachukua contact na kumake deals! am appalled and pissed off by some of the response here! just pathetic!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 11, 2011

    Hahahahaaaaa.......these comments needs to be posted on FB.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...