
My Fellow Tanzanian’s
l have taken the Liberty of sending this Mail to you all being a Tanzanian myself who has now settled in USA for the past 23 years and have always been linked to Tanzania as l frequent it every six months.
The purpose of this mail is to:
a) Keeping in touch with you all.
b) Communicating or Sharing ideas
c) Seeking information or guidance
d) Needing any products from USA
e) Trading & Technology exchange.
We deal in Excess inventory,Closeout Merchandise on all Brand New products only ranging from Cigarettes, Stationary, Building Materials, Paints, Apparel,Beauty Aids,Cosmetics Diapers,Computers and a wide range of other Merchandise that you may be able to know those who would be interested.
We can also be helpful if there are any particular products that you are wishing to source or agency or dealership.
All Branded products is what we export to various parts of the world.
Please let me know if there is anything that l may be able to assist you here in the USA.
Ahsanteni Sana.
“Mungu ibariki Tanzania”
Best Regards,
Quantum International Trading Inc.
Jabir Chatoo
1421 Pine Oak Trail
Sanford, FL 32773
Tel: +1-407-624-4177
Google: +1-313-444-5786
Mobile: +1-786-797-1751
Tanzanian Mobile: +255-786-252525
Skype ID: jabir.chatoo
AIM: jabirqit
Twitter: mchukuzi


Mh! ndugu yyangu wee, rangi yako inavyofanana na Rostam Aziz, subiri sasa wale wafuasi chama cha matusi na maandamano wakuone hapa. Sasa hivi watakuweka kwenye forum yao na kuanza kuulizia cv yako.
ReplyDeleteshauri yako.
Sasa kwani huko USA hakuna wateja? Huku nyumbani pesa watu hawana.
ReplyDeletetatizo ya awa watu wa rangi hiyo , wanapo taka kutuibiwa wana jifanya wao ni tanzania kweli, tukikutana nao uko majuu wanaukana utanzania.
ReplyDeleteSORRY BABA MAISHA BONGO AYASOMEKI KABISA SIKUIZI, VIVAA TU VYA HAPA HAPA NYUMBANI ATUWEZI NUNUA NDO IWE TANZANIA.
Mzamiaji kote kote.
ReplyDeleteMdau wa pili umenichekesha sana na comment yako!! hahahahaaaaaaa... haya bwana!
ReplyDeleteKaka nashukuru for intro nta ku contact mimi niko DC!
ReplyDeleteSasa bana Patel kanini tangaja biashara hapa..veve tangaja bishara Canada au India. Hii mitu tasema veve fisadi au toto Rostam Azizi.
ReplyDeleteahahahahaahahahahahahahah nakufa kwa kuchekaaa jamani, wewe mdau nambari ya pili umenichekesha sana maana umempa short and clear!!! Good job sana.
ReplyDeletemdau wa pili acha kusemea watu kama huna hela ni wewe, wenzako tunazo na tutanunua we vipi bwana acha uvivu bongo mihela nje nje!
ReplyDeletemdau, Tandika maguruwe
Watanzania kwa maneno ya kuchekesha hawajambo eti veve fisadi au toto ya Rostam Azizi
ReplyDeletedada zenu wakipaka ile mikorogo na wakaweka nywele za kafa ulaya mbona mnawasifia ah wamependekeza. Mhaya siku hizi si mweusi tena, ni mhindi kabisa, hasa kipua chake kikiwa kimenyoka aaaah poa. Acheni baniani mbaya kiatu chake kizuri. Nyie, the bush wont come out of the TZ.
ReplyDeleteNitakuunga mkono!!!,Achana nao hao hapo juu wote njaa inawasumbua na ufukara wa mawazo, hawajui dunia sasa ni globle, na adui yako siku hizi sio rangi hata weusi wenzetu tunachunana ngozi na kugeuza bidhaa (Nenda Mbeya ngozi dili),hawana lolote hao hapo wenye comment kama watanzania wote ni malaika.Madini yanaibiwa kutokana na weusi wenzetu kuingia mikataba mibovu kwa10%,kwani mzungu ataanza kuchimba bila kudili na sisi?.
ReplyDeleteMaoni ya watu wengi yanasikitisha sana MTU akiisha tangaza yupo nje ya nchi Amerika au UK AU Ulaya basi watu wanakuwa kama WACHAWI mnachangia maneno mabaya.
ReplyDeleteTujue mtu akijitokeza sio kwa ajili yako unayesema Tanzania hakuna hela au Tanzania hawana uwezo wa kununua ni wewe na Tanzania ya sasa sio ile ya Mwinyi au Mkapa mambo ni mazuri hata ukilima mashamba pesa ipo,kwa hiyo tuchangie vizuri
jamani nimecheka! nilikuwa nipo down nimecheeeeka loh! Michuzi big up!
ReplyDeleteCongratulations Jabir. Message delivered. Keep it up, achana na waswahili!
ReplyDeleteWell done JABIR. Watanzania wengine tuna MUDA KWELI KWELI! You hang out with wajinga akili yako mtu lazima idumae. Tujiangalie sana. Kuna huduma hapa - use it or leave it for others.
ReplyDeleteHi Jabir huwa naweka mafuta nikipita hapo Sanford nipo jirani hapo nitakutafuta.
ReplyDeleteHizo kasumba mlizonazo mtajikuta mnakufa masikini.Huyu jamaa anatangaza biashara zake na nyinyi mnaleta viubaguzi uchwara hapa,waachieni watu wanaotaka kujua biashara yake.Acheni ubaguzi hapa pumbaff.
ReplyDeleteBig up Jabir hivi ndiyo vitu watu wanatakiwa kuweka hapa ndani badala ya kuchafua hali ya hewa... Nitakutafuta Mtanzania mwenzangu achana na waosha vinywa hapo juu..
ReplyDeletewabongo bwana mangali choti kabisa! Ndo maana wahindi wanamiliki utajiri wote pale tanzania, wanapeana dili. Jabir anatoa dili ili watu wafanye biashara naye, watu wanaleta UCHAWI na racist jokes! mtaishia kuwa maskini wakati wengine wanachukua contact na kumake deals! am appalled and pissed off by some of the response here! just pathetic!
ReplyDeleteHahahahaaaaa.......these comments needs to be posted on FB.
ReplyDelete