Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe Uganda usiku huu tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni.Marais wengine waliowasili Kampala jana ni pamoja na Goodluck Jonathan wa Nigeria na,Robert Mugabe wa Zimbabwe,Viongozi wengine na wawakilishi wa marais walitarajiwa kuwasili baadaye kuhudhuria sherehe hizo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2011

    This is another "Africanism Syndrome". This guy has been in the power since I was a little boy, now I am a grown up man, married,having son and daughter, ati jamaa bado ni Rais..!!!. Is this country Diplomatic...???!!!.Does it mean hakuna mtu mwingine kweli hapo Uganda can be the presented and come up with not just better ideas but also different vision and prospective for betterment of ugandanees..???!!!.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2011

    Tangu Museveni awe rais Tanzania imeongozwa na marais wanne, na sasa tunaelekea kuwa na rais wa tano, bado Museveni ni rais...Damn!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2011

    Waganda amkeni, siyo mnakazania muziki tu.......mtu mmoja anawatawala siku zote..damn !!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2011

    Udanganyika ulianza zamani.
    http://myafricatoday.blogspot.com/2007/06/was-1979-tanzania-uganda-war-necessary.html
    Hii link inazungumzia juu ya vita ya kagera na hasara TZ iliyopata tokana na vita hiyo.
    Pia kuna sehemu inasema Wabunge/wanasiasa wa TZ walishampiga vita Dikteta Museveni lakini bado serikali inamtambua. Kazi ndo hiyo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2011

    We will experience another Gaddafi in Africa, jamaa hataki kutoka na anaogopa akitoka tu mwisho wake mbaya.

    Lakini pia aangalie maana atajabadirikiwa na US na huo ndio utakuwa mwisho wake kama Moubarak na Gaddafi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...