
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe Uganda usiku huu tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni.Marais wengine waliowasili Kampala jana ni pamoja na Goodluck Jonathan wa Nigeria na,Robert Mugabe wa Zimbabwe,Viongozi wengine na wawakilishi wa marais walitarajiwa kuwasili baadaye kuhudhuria sherehe hizo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu


This is another "Africanism Syndrome". This guy has been in the power since I was a little boy, now I am a grown up man, married,having son and daughter, ati jamaa bado ni Rais..!!!. Is this country Diplomatic...???!!!.Does it mean hakuna mtu mwingine kweli hapo Uganda can be the presented and come up with not just better ideas but also different vision and prospective for betterment of ugandanees..???!!!.
ReplyDeleteTangu Museveni awe rais Tanzania imeongozwa na marais wanne, na sasa tunaelekea kuwa na rais wa tano, bado Museveni ni rais...Damn!
ReplyDeleteWaganda amkeni, siyo mnakazania muziki tu.......mtu mmoja anawatawala siku zote..damn !!!
ReplyDeleteUdanganyika ulianza zamani.
ReplyDeletehttp://myafricatoday.blogspot.com/2007/06/was-1979-tanzania-uganda-war-necessary.html
Hii link inazungumzia juu ya vita ya kagera na hasara TZ iliyopata tokana na vita hiyo.
Pia kuna sehemu inasema Wabunge/wanasiasa wa TZ walishampiga vita Dikteta Museveni lakini bado serikali inamtambua. Kazi ndo hiyo.
We will experience another Gaddafi in Africa, jamaa hataki kutoka na anaogopa akitoka tu mwisho wake mbaya.
ReplyDeleteLakini pia aangalie maana atajabadirikiwa na US na huo ndio utakuwa mwisho wake kama Moubarak na Gaddafi