Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano, Bi Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha kamati ya mawaziri wanne wanaoshughulikia Utaratibu wa ajira kwa Utumishi wa Zanzibar katika Taasisi za Muungano.kulia ni waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma, Bi Hawa Ghasia na mkurugenzi Uendelezaji sera Ofisi ya Rais utumishi, Bw Mathias Kabundugura, Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Mgosi Mwihava.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano, Bi Samia Suluhu akiongoza kikao cha uratibu wa ajira kwa utumishi wa Zanzibar katika taasisi za Muungano, Ofisini kwake mtaa wa Luthuli leo(Picha na Ali Meja)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...