Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari. (kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco William Mhando.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (mwenye suti) akizungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha CUF Julius Mtatiro katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo baada ya CAG Ludovick Utouh kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (kushoto) wakiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco Willam Mhando (kulia) baada ya utoaji wa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari jijijni Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali jijini Dar es salaam wakisikiliza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti zake zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...