
Habari Michuzi
Nilikuwa naomba utuwekee hii picha ya Cake ya Maharusi Bi Rackia Mchata na Baraka Nginila wa Birmingham Uk. Hii Cake walichukua theme ya kwenye Sex and City Movie, ndio maana utaona kuna picha moja imeandikwa SJP (Sarah Jessica Parker). Harusi yao ilifanyika tarehe 29/4/11 na Reception tarehe 1st May 2011. Picha na
Mdau Ukerewe.


ATA MAJINA YAO YANAFANANA NA MAPENZI YA KEWLI. HENGERENI SANA.
ReplyDeletewanapendeza sana pamoja. pendezeni mpendezavyo ila nawaombeni mjue kwamba ndoa ndoano. Tumianeni kimaendleo mtafika. Na maaana kwamba anacojua mwezio nawe unajifunza haraka, na alipo na udhaifu mwezio ndipo unasisitiza kumfundisha ili aendelee zaidi kujifunza mapya. msiogopane. Mimi mwana ndoa wa miaka 15 ingawa ni bado kijana mdogo sana. Kama sio mungu, mapenzi ni lazima yaende mkondo. Shetani anapenda sana kumuudhi mungu kupitia wapenda nao.Sasa naenda safari ya masaa matatu na sababu halisi ni kumuambia kua nampenda sana sanaaaaaaaa.Ya dunia namwachia mola. Kama ikiwa noma basi na iwe noma ila mwanaume akipenda jamani nae hua anapenda kweliiiiii. We dada umependwa kwa kweli. Ata sisi wanaume wenzake tunaliona ilo vizuri. Bahari yote yenu nduguzangu ktk mpnzi, lakini mawimbi hayaishi daima.Na kama inavyoonekana kua mmeyavulia nguo maji, basi mtaogelea na mawimbi yatawapiga vibaya sana,ila uleupande wenyewe mnaoelekea, KWA JINA LA
ReplyDeleteMUUUMBA BASI MTAFIKA NA MTAKANYAGA ARDTHI YA AGAPE LOVE.
KUNRADHI SISEMI JINA LANGU ILA NAWAPENDENI SANA
MAPENZI YENU NA YA AJABU NAFAHAMU ILO.
MUNGU AWABARIKI KILASIMU DAIMA.
H