
Timu ya Taifa ya Vijana U-23 kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya mkoa wa Kilimanjaro kwenye mechi ya ufunguzi ya Kili Taifa Cup muda mfupi uliopita mjini Moshi

Kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Meja Jenerali Said Kalembo akisalimiana na wachezaji wa timu ya taifa ya vijana U-23.

Kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Meja Jenerali Said Kalembo
Hii ndiyo shughuli ya kufanya ili kuendeleza soka nchini kwetu na siyo upuuzi wa kuiga timu za ulaya ambapo ni kupoteza muda bure.
ReplyDelete