
Angela Mwiki (kulia) na mpambe wake wakifungua dansi wakati wa mnuso wa Pre-wedding yake usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mwika jijini Dar. Mwiki, ambaye ni mwalimu huko Marangu, Moshi, ndiye alikuwa Miss Kilimanjaro mwaka 2006 na leo ndio anameremeta

Keki ya Angela

Angela akitoa keki kwa wakweze

MC akimtambulisha mtarajiwa, Bw. Baltazar Francis.
Kwa picha zaidi
Kwa kweli nimepata hamu ya kurudi bongo jamani. Tuongee ukweli kwa sisi tulio huku ughaibuni (nje ya Tanzania) hatuenjoy kabisa. Starehe ziko bongo, harusi zipo bongo, sherehe zipo bongo. Huku kila mtu anajifanya yupo bize. Nimeangalia hii clip pamoja na hiyo hapo juu ya kimwana wa twanga pepeta nimepata hamu kubwa ya kurudi bongo jamani. aaahhhh
ReplyDeleteWooowww!! Mamito ulipendeza sana mpenzi.May GOD bless you in ur marriage life with ur husb B.
ReplyDeleteFrom ur friend Ney A.
wowow nimefurai sana kuona rafiki yangu amepata wa pingu za maisha ,mwenyeezi mungu akupe maisha mema na ya furaka katika ndoa,mimi ni Mr Howard kombe kutoka marekani
ReplyDelete