Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. everybodyMay 08, 2011

    Jamani bongo kuna starehe yake usiambiwe.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2011

    Ona wanaume wote wa bendi na watazamaji mijicho ilivyowatoka na midomo inavyotoka madenda! Kwao hii ni free soft porno wakiondoka hapo ni chabwa tu! aibu aibu. Kuna yeyote aliesikia neno katika wimbo wote? No lakini mpiga kamera kahakikisha makalio na vifua vya wanawake vinaonekana bila matatizo yeyote. IDUMU TANZANIA!!!!

    M. NDHAHU
    UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2011

    Wewe M.Ndhau UK acha ukola wako hapa. Kama mujahidina ni wewe na baba na mama yako. Acha watu wafaidi maisha. Nyie sexists ndio mnaobaka watoto wadogo kwa kuwaza chini tu. Inaonesha hata binti yako mdogo humuogeshi wewe kwa mawazo ya ngono yalivyojaa akilini mwako. Sasa ulitaka kina dada wacheze na baibui??? Cha Ajabu nini hapo. Hivi hata beach umeshafika wewe na kuona watu wanavyovyaa ila hawana wasi kwa kuwa sio sexist bigots kama wewe. Chukua time bwana! Nyie ndio wale mabingwa wa kuandamana ambapo mkiona starehe kuonesha kuwa Bongo Tambarale mnakasirikia kwa kuwa zinawaumbua kuwa si kweli Bongo kuna shida kama mnavyotaka kudanganya dunia. Hayoooooo mnashushuka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...