Home
Unlabelled
kimwana wa twanga pepeta club sun ciro, dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani bongo kuna starehe yake usiambiwe.....
ReplyDeleteOna wanaume wote wa bendi na watazamaji mijicho ilivyowatoka na midomo inavyotoka madenda! Kwao hii ni free soft porno wakiondoka hapo ni chabwa tu! aibu aibu. Kuna yeyote aliesikia neno katika wimbo wote? No lakini mpiga kamera kahakikisha makalio na vifua vya wanawake vinaonekana bila matatizo yeyote. IDUMU TANZANIA!!!!
ReplyDeleteM. NDHAHU
UK
Wewe M.Ndhau UK acha ukola wako hapa. Kama mujahidina ni wewe na baba na mama yako. Acha watu wafaidi maisha. Nyie sexists ndio mnaobaka watoto wadogo kwa kuwaza chini tu. Inaonesha hata binti yako mdogo humuogeshi wewe kwa mawazo ya ngono yalivyojaa akilini mwako. Sasa ulitaka kina dada wacheze na baibui??? Cha Ajabu nini hapo. Hivi hata beach umeshafika wewe na kuona watu wanavyovyaa ila hawana wasi kwa kuwa sio sexist bigots kama wewe. Chukua time bwana! Nyie ndio wale mabingwa wa kuandamana ambapo mkiona starehe kuonesha kuwa Bongo Tambarale mnakasirikia kwa kuwa zinawaumbua kuwa si kweli Bongo kuna shida kama mnavyotaka kudanganya dunia. Hayoooooo mnashushuka!
ReplyDelete