Mbunifu Farha Sultani akiwa na modo wake aliyemvisha, Mbunge wa Viti Maalum Mh. Martha Mlata, wakati wa onesho la mavazi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma lililoandaliwa na Tanzania Mitindo House. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
wabunge katika onesho la tanzania mitindo house
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...