Ramsey Arsenal wa anapiga bao lililoondoa ngebe
Suarez akisalimia nyavu za Newcastle na kuandika moja ya mabao 3-0 iliyoshinda Liverpool leo na kuchupa hadi nafasi ya tano..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2011

    Ankali ni kweli mji safi kabisa.Siku hizi tunapiga watu kama hatuna akili nzuri.King si mchezo.

    ReplyDelete
  2. Ukija kusikia Chelsea wanakuja kuwa ndio washindi musije kushangaaa...

    ReplyDelete
  3. hapa raha zote zinajulikana mmoja anashangilia kupata nafasi ya championi ya ligi ya mchangani na mwengine amepata kujihakikishia kucheza champion league hakuna la ziada

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2011

    sasa nyie LIVERFOOL mtafika wapi mnakumbuka kuvuta shuka asubuhi...anyway sisi ndio MABINGWA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2011

    muingereza bado ataendelea kututawala kwa miaka mingi ijayo

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2011

    WADAU mi nina furaha ingawa ubingwa nimeukosa bt kuwafunga hawa MASHETANI WEKUNDU kwangu ni bonge la furaha najua tutafanya vizuri mwakani washabiki wenzangu tunatakiwa kuwa wavumilivu....

    BY
    RAIS WA ARSENAL TANZANIA...!
    MUDDY

    ReplyDelete
  7. Ni vijimambo vya ARSENAL..COZ KILAKI2 NI MIPANGO BWANA.

    BY
    MOHAMED KINYUNYU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...