Mr.Mim ambae ni yule yule pekee aliye toka na Hitt kali pamoja na Ali Kiba kwenye nyimbo Hadithi hadithi,amekuja na Single yake mpya iitwayo Napenda Wee akimshirikisha BerryBlack and DBway.
Akisubiriwa kwa hamu sana nchini Tanzania kwa ajili ya interview za Tv mbali mbali kuhusiana na album yake iitwayo Maisha amesema ya kwamba yeye hafanyi mziki kwa faida yake,bali Album hii itakuwa kwa sababu ya kusaidia wasiojiweza nchini Tanzania ambapo nusu ya mauzo itakwenda kwa walemavu. Kasema washabiki kaeni teyari kwa Album hiyo ambayo ina nyimbo 14 na zote kali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...