Michuzi, Msaada kwenye tuta: Naomba tafrsiri ya maneno haya kwa kiswahili tafadhali: ANTICIPATE RECOGNIZE EVALUATE CONTROL CONFIRM Asante - Mdau Anonymous |
Home
Unlabelled
msaada kwenye tuta tafadhali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


ANTICIPATE = Tegemea
ReplyDeleteRECOGNIZE = Tambua
EVALUATE = Chambua
CONTROL = Dhibiti
CONFIRM = Hakikisha
Anticipate - tarajia
ReplyDeleteRecognise - tambua
Evaluate - tathmini
Control - thibiti
Confirm - thibitisha
Mdau T-dot
Tarajia
ReplyDeleteTambua
Fafanua/Changanua
=====
Hakiki
ANTICIPATE -- BASHIRI
ReplyDeleteRECOGNIZE ---TAMBUA
EVALUATE ----NYAMBUA
CONTROL --- DHIBITI
CONFIRM ----HAKIKISHA
ANTICIPATE=to expect,look forward,be sure of.(tegemea ukiwa na hakika)
ReplyDeleteRECOGNIZE=to identify as something or someone previously seen or known.(kutambua kitu au mtu ambae ulisha wahi kumuona au kukiona)
EVALAUTE=to determine or set the value or amount of appraise.(sina kiswahili kizuri cha kukupa lkn ni kuangalia au kukagua kitu eg unakagua vyeti vya shule kujua yupi anafaa yupi hafai,kuangalia kiwango kmwanavyo fanya shirika la viwango TBS
CONTROL=to dominat,command(kuwa na mamlaka juu ya kitu au mtu)
CONFIRM=To establish the truth,accuracy validity or genuineness(unawakilisha kitu ambacho una hakika nacho na ambacho ni cha kweli)
Natumaini nimejibu maswali yako sijui km nimejitosheleza au nimekosea sikiliza na wadau wengine wanasemaje.
is me from
LAS VEGAS,NV
USA
CONFIRM- Hakikisha
ReplyDeleteEVALUATE- Changanua
RECOGNIZE- Tambua
ANTICIPATE- Tarajia
CONTROL- Miliki
Ahmed
Anticipate - Tarajia
ReplyDeleteRecognize - Tambua
Evaluate - Tathimini
Control - Kuthibiti
Confirm - Kuthibisha
Anticipate = Tegemea
ReplyDeleteRecognize = Tambua
Evaluate = Tathmini
Control = Ongoza (sina uhakika)
Confirm = Hakiki
Mdau, CA, USA
Anticipate = tegemea au subiria au tazamia
ReplyDeleteRecognize = Tambua
Evaluate = Chambua au pambanua
Control = Kontroo...lol
Confirm = Hakiki au hakikisha
ANTICIPATE - Tarajia
ReplyDeleteRECOGNIZE - Tambua
Evaluate - (Ku)Tathimini
CONTROL - Dhibiti/Weka katika himaya ya/Kuweka katika uangalizi
CONFIRM - Thibitisha/Uthibitisho
-tarajia
ReplyDelete-tambua
-tathmini
-dhibiti/tawala/simamia
-thibitisha
Pamoja na tafsiri hii, zingatia miktadha ya matumizi husika.
Wakati mwingine jaribu "google translate" inaweza kukusaidia. kila la heri.
vitu vingine unaweza kugoogle tuu mdau..lakini ngoja nikusaidie
ReplyDeleteanticipate - tarajia
recognize - tambua
evaluate - tathmini
control - thibiti
comfirm - hakikisha
ANTICIPATE-TARAJIA/TEGEMEA
ReplyDeleteRECOGNIZE-TAMBUA
EVALUATE-TATHMINI
CONTROL-TAWALA/DHIBITI
CONFIRM-HAKIKI
1. Tegemea (kutoke kwa jambo baadae)
ReplyDelete2. Tambua
3. Tathimini
4. Dhibiti (kuwa chini ya uangalizi/uongozi)
5. Thibitisha.
ANTICIPATE (TARAJIA AU TAZAMIA)
ReplyDeleteRECOGNIZE (TAMBUA)
EVALUATE (TATHMINI)
CONFIRM (THIBITISHA)
Anticipate - tarajia
ReplyDeleterecognize - tambua
Evaluate - tathimini
control - dhibiti/thibiti
confirm - thibitisha
Nkyason
A - city
Anticipate - Kutarajia
ReplyDeleteRecognize - Kutambua
Evaluate - kutathmini
Control - Kudhibiti
Comfirm - Kuhakikisha
Anticipate - Tarajia kutokea
ReplyDeleteRecognize - Tambua au baini
Evaluate - Chambua ubora (baina ya vingi)
Control - Kuwa na mamlaka juu ya
Confirm - Hakiki
anticipate- wanatarajia
ReplyDeleterecognize- kutambua
evaluate- kutathmini
control- kudhibiti
confirm- kuthibitisha
pia kwa msaada zaidi ingia wwww.google.co.in,andika google translate,halafu chagua google translate.utapewa chaguo la lugha mbalimbali unayotaka kutafsiri maneno yeyote.ahsante.
Kaka Michuzi Mdau anaomba tafsiri zile za akina TUKI au hata hizi za kwetu za sisisi?? Kama si za TUKI basi ngoja nijaribu;
ReplyDeleteAnticipate ni taraji
Recognise ni tambua
Evaluate ni tathmini
Control ni dhibiti
Confirm ni thibitisha
Ila nafikiri wadau nadhani kuna tofauti kati ya kutaraji na kutegemea, na pia kudhibiti na kuthibiti. Kuthibiti ni kutimia au kudhihiri na haihusiani na Control.
Mdau
Angalia kwenye kamusi ya kiingereza - kiswahili
ReplyDeleteAu google!!
Yule aliyeomba msaada kuibiwa site mirror, kashfa kibao alipewa ambazo hazikuwa haki yake kwani gari ni lake tu hata mkimwita majina elfu. Huyo dictionary ziko hadi kwa wamachinga now days hajajibiwa vibaya. Si maanishi mumjibu no, namaanisha angalieni maneno mnayoandika before you post it. Also apply to yourself
ReplyDeleteMajibu yangu ni kama ya mdau T.Dot
ReplyDeleteKuhusu gugoogle, msijaribu sababu walioweka kamusi wanaonekana si watumiaji wazuri wa kiswahili sanifu. Yawezekana ni watani wa jadi maana kuna maneno ambayo kwa mtu aliyesomea kiswahili Tanzania hawezi kuyaelewa. mengi wametohoa toka kizungu.
Yeah,mdau 12:06Pm. Wabongo wanafikra kizamani za kuendekeza kingereza.Kuongea kingereza sio Achievemts.Kuongea kingereza si lazima kuwa kitakupeleka sehemu yoyote.Ni lugha tu kama Kimakonde.Watu kibao wanaandika na kuongea kingereza kibovu duniani si Afrika,England,Marekani. Nachoshangaa mbona wengi mnaongea na kuandika kiswahili kibovu na hakuna anayewasahihisha? Acheni Up-u-mbavu
ReplyDeleteIs true mdau wa 12.06 na 04.38 nakubaliana na nyie mi naona huku UK waingereza wengine wakiongea huwezi kuelewa haraka na ni sawa na wachaga mbuzi-mbusi, wasukuma chakula-chakura, tukikosoana kwa hekima bora than kukashfiana. But also it doesn't matter to waste your time/energy kupiga zeze kwa mbuzi ambao hawana habari na wewe. Hivyo Watz tuache hata kiswahili bado hatujaweza lugha ya watu ndio tutaijua?
ReplyDeleteanony wa 9.44pm umenichekesha sana.eti wachaga mbuzi-mbusi,hahaha,yaani umenikumbusha sana moshi. je wanaoimba mbagala-mbagaraaa lol,lol..
ReplyDelete