Michuzi, Msaada kwenye tuta:
Naomba tafrsiri ya maneno haya kwa kiswahili tafadhali:
ANTICIPATE
RECOGNIZE
EVALUATE
CONTROL
CONFIRM
Asante - Mdau Anonymous

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2011

    ANTICIPATE = Tegemea
    RECOGNIZE = Tambua
    EVALUATE = Chambua
    CONTROL = Dhibiti
    CONFIRM = Hakikisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate - tarajia
    Recognise - tambua
    Evaluate - tathmini
    Control - thibiti
    Confirm - thibitisha

    Mdau T-dot

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2011

    Tarajia
    Tambua
    Fafanua/Changanua
    =====
    Hakiki

    ReplyDelete
  4. MZIWANDAMay 03, 2011

    ANTICIPATE -- BASHIRI
    RECOGNIZE ---TAMBUA
    EVALUATE ----NYAMBUA
    CONTROL --- DHIBITI
    CONFIRM ----HAKIKISHA

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2011

    ANTICIPATE=to expect,look forward,be sure of.(tegemea ukiwa na hakika)
    RECOGNIZE=to identify as something or someone previously seen or known.(kutambua kitu au mtu ambae ulisha wahi kumuona au kukiona)
    EVALAUTE=to determine or set the value or amount of appraise.(sina kiswahili kizuri cha kukupa lkn ni kuangalia au kukagua kitu eg unakagua vyeti vya shule kujua yupi anafaa yupi hafai,kuangalia kiwango kmwanavyo fanya shirika la viwango TBS
    CONTROL=to dominat,command(kuwa na mamlaka juu ya kitu au mtu)
    CONFIRM=To establish the truth,accuracy validity or genuineness(unawakilisha kitu ambacho una hakika nacho na ambacho ni cha kweli)
    Natumaini nimejibu maswali yako sijui km nimejitosheleza au nimekosea sikiliza na wadau wengine wanasemaje.
    is me from
    LAS VEGAS,NV
    USA

    ReplyDelete
  6. CONFIRM- Hakikisha
    EVALUATE- Changanua
    RECOGNIZE- Tambua
    ANTICIPATE- Tarajia
    CONTROL- Miliki

    Ahmed

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate - Tarajia
    Recognize - Tambua
    Evaluate - Tathimini
    Control - Kuthibiti
    Confirm - Kuthibisha

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate = Tegemea
    Recognize = Tambua
    Evaluate = Tathmini
    Control = Ongoza (sina uhakika)
    Confirm = Hakiki

    Mdau, CA, USA

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate = tegemea au subiria au tazamia
    Recognize = Tambua
    Evaluate = Chambua au pambanua
    Control = Kontroo...lol
    Confirm = Hakiki au hakikisha

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 03, 2011

    ANTICIPATE - Tarajia
    RECOGNIZE - Tambua
    Evaluate - (Ku)Tathimini
    CONTROL - Dhibiti/Weka katika himaya ya/Kuweka katika uangalizi
    CONFIRM - Thibitisha/Uthibitisho

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 03, 2011

    -tarajia
    -tambua
    -tathmini
    -dhibiti/tawala/simamia
    -thibitisha

    Pamoja na tafsiri hii, zingatia miktadha ya matumizi husika.

    Wakati mwingine jaribu "google translate" inaweza kukusaidia. kila la heri.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 03, 2011

    vitu vingine unaweza kugoogle tuu mdau..lakini ngoja nikusaidie
    anticipate - tarajia
    recognize - tambua
    evaluate - tathmini
    control - thibiti
    comfirm - hakikisha

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 03, 2011

    ANTICIPATE-TARAJIA/TEGEMEA
    RECOGNIZE-TAMBUA
    EVALUATE-TATHMINI
    CONTROL-TAWALA/DHIBITI
    CONFIRM-HAKIKI

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 03, 2011

    1. Tegemea (kutoke kwa jambo baadae)
    2. Tambua
    3. Tathimini
    4. Dhibiti (kuwa chini ya uangalizi/uongozi)
    5. Thibitisha.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 03, 2011

    ANTICIPATE (TARAJIA AU TAZAMIA)
    RECOGNIZE (TAMBUA)
    EVALUATE (TATHMINI)
    CONFIRM (THIBITISHA)

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate - tarajia
    recognize - tambua
    Evaluate - tathimini
    control - dhibiti/thibiti
    confirm - thibitisha

    Nkyason
    A - city

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate - Kutarajia
    Recognize - Kutambua
    Evaluate - kutathmini
    Control - Kudhibiti
    Comfirm - Kuhakikisha

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 03, 2011

    Anticipate - Tarajia kutokea
    Recognize - Tambua au baini
    Evaluate - Chambua ubora (baina ya vingi)
    Control - Kuwa na mamlaka juu ya
    Confirm - Hakiki

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 03, 2011

    anticipate- wanatarajia
    recognize- kutambua
    evaluate- kutathmini
    control- kudhibiti
    confirm- kuthibitisha

    pia kwa msaada zaidi ingia wwww.google.co.in,andika google translate,halafu chagua google translate.utapewa chaguo la lugha mbalimbali unayotaka kutafsiri maneno yeyote.ahsante.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 03, 2011

    Kaka Michuzi Mdau anaomba tafsiri zile za akina TUKI au hata hizi za kwetu za sisisi?? Kama si za TUKI basi ngoja nijaribu;
    Anticipate ni taraji
    Recognise ni tambua
    Evaluate ni tathmini
    Control ni dhibiti
    Confirm ni thibitisha

    Ila nafikiri wadau nadhani kuna tofauti kati ya kutaraji na kutegemea, na pia kudhibiti na kuthibiti. Kuthibiti ni kutimia au kudhihiri na haihusiani na Control.

    Mdau

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 03, 2011

    Angalia kwenye kamusi ya kiingereza - kiswahili
    Au google!!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 03, 2011

    Yule aliyeomba msaada kuibiwa site mirror, kashfa kibao alipewa ambazo hazikuwa haki yake kwani gari ni lake tu hata mkimwita majina elfu. Huyo dictionary ziko hadi kwa wamachinga now days hajajibiwa vibaya. Si maanishi mumjibu no, namaanisha angalieni maneno mnayoandika before you post it. Also apply to yourself

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 03, 2011

    Majibu yangu ni kama ya mdau T.Dot

    Kuhusu gugoogle, msijaribu sababu walioweka kamusi wanaonekana si watumiaji wazuri wa kiswahili sanifu. Yawezekana ni watani wa jadi maana kuna maneno ambayo kwa mtu aliyesomea kiswahili Tanzania hawezi kuyaelewa. mengi wametohoa toka kizungu.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 03, 2011

    Yeah,mdau 12:06Pm. Wabongo wanafikra kizamani za kuendekeza kingereza.Kuongea kingereza sio Achievemts.Kuongea kingereza si lazima kuwa kitakupeleka sehemu yoyote.Ni lugha tu kama Kimakonde.Watu kibao wanaandika na kuongea kingereza kibovu duniani si Afrika,England,Marekani. Nachoshangaa mbona wengi mnaongea na kuandika kiswahili kibovu na hakuna anayewasahihisha? Acheni Up-u-mbavu

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 03, 2011

    Is true mdau wa 12.06 na 04.38 nakubaliana na nyie mi naona huku UK waingereza wengine wakiongea huwezi kuelewa haraka na ni sawa na wachaga mbuzi-mbusi, wasukuma chakula-chakura, tukikosoana kwa hekima bora than kukashfiana. But also it doesn't matter to waste your time/energy kupiga zeze kwa mbuzi ambao hawana habari na wewe. Hivyo Watz tuache hata kiswahili bado hatujaweza lugha ya watu ndio tutaijua?

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 04, 2011

    anony wa 9.44pm umenichekesha sana.eti wachaga mbuzi-mbusi,hahaha,yaani umenikumbusha sana moshi. je wanaoimba mbagala-mbagaraaa lol,lol..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...