Salaam,
URBAN PULSE PULSE Inawaletea video ya mwenyekiti wa CCM UK MAINA OWINO akizungumzia mambo nyeti kuhusu DIASPORA III UK
Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE
URBAN PULSE PULSE Inawaletea video ya mwenyekiti wa CCM UK MAINA OWINO akizungumzia mambo nyeti kuhusu DIASPORA III UK
Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE
Owino, hiyo kitu ni substance tupu!! Hakuna aJILA, wala Leding , wala LAISI WETU.
ReplyDeleteKuanzia leo mjue vema kuwa kiswahili kinaongelewa vema hivyo ..wajaluo wanajua namna ya kutamka silabi zote na ngeli...
HONGERA KWA UJUMBE MZURI SANA.
Safi sana vile vile kumbukeni suluhu ya dual citizenship naona hii haikuzungumziwa kwenye hii clip. Vipi sheria na dual citizenship itaanza kutumika lini?
ReplyDeletenice suit. this should have been the Tanzania chairman and not CCM chairman. the urban pulse you are not cut the mustard for me.
ReplyDeleteTanzania ina mfumo wa vyama vingi. Huyu jamaa anaongelea Diaspora as if watu wote wanaoishi nje ni wana-CCM. Kuna mkanganyiko mkubwa, mwenyekiti or katibu wa tawi la CCM anajipa majukumu ya kuwakilisha watanzania na anasahau kabisa nafasi yake na agenda zake. Kama ni mkutano wa CCM jadili habari za chama or else you should understand u-CCM wako haumaanishi utanzania. Kama ni issue ya diaspora isichanganywe na vyama na wawakilishi si lazima wawe viongozi wa vyama vya siasa.
ReplyDeleteJamani issue ya dual citizenship imeishia wapi? Sheria imeshapitishwa? Kama ineshapitishwa, itaanza kutumika lini? Kwa nini hii issue inachukua muda mrefu?
ReplyDeletehuyu jamaa anafaa kuwa kiongozi nimemkubali lugha imetulia na upeo pia umetulia
ReplyDeleteJambo ambalo ni kosa ni kupigiwa wimbo wa Taifa. Haya ni matumizi mabaya ya wimbo wa Taifa.
ReplyDeleteat least huyu jamaa amejitahidi ingawa ni mwana mapinduzi sijui yeye kashalivua gamba?anyway kazi nzuri amejitahiji kujielezea kuliko wale wa laisi na leding,hapa urban pulse kidogo mmefanya kazi mmeniudhi tu mlipokuja na kukomenti humu hapo ndio nilipowaona vichwa vya kuku...wenzenu hawsemi kitu kama mtu kasema kitu kibaya unatathimini then next time unatengeneza ambacho hakina makosa kama mlivyofanya sasa,sio mnakuja na kuongea utombo halafu mtu mzima ukionekana zero ni aibu sana.
ReplyDeletewe anony 11:27pm nyie ndo hamna uzalendo. sasa unataka wimbo wa taifa upigwe wakati gani siku ya muungano, uhuru au mapinduzi ya zanzibar. wenzenu walioendelea wanpiga nyimbo zao vilabuni, danguro, stadium kwa michezo yote,hata vyoo vyao ukiflash unasikia wimbo wao taifa ...save the queen. wanatengenza condom,chupi za bendera zao sembuse hii ya watanzani ambao wanasikia wimbo wa taifa baada ya miaka 5. huo wivu.
ReplyDeletekenedy a.k.a msilikazi
Point kwanza tanzania ituruhusu kuwa na passport mbili kama wenzetu wengine hata wenzetu kenya sasa wako na passport mbili sisi tunabanwa sana na ndio maana tunadhulumiwa sana nyumbani!
ReplyDelete