Mwenyekiti wa timu ya Simba Sports Club nchini, Ismail Aden Rage (katikati) akitoa taarifa kwa waadishi wa habari kuhusu ujio wa timu ya Birmingham City kutoka Uingereza inayotarajiwa kufika hapa Julai ikiwa italetwa na Timu ya Klabu ya Simba. (kulia) ni Daktari wa Timu hiyo Ian MacGiuness . (kushoto) ni Kocha Msaidizi wa Timu hiyo Andy Waston.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba nchini, Ismail Aden Rage (kulia) akimkabidhi vipeperushi mbalimbali vinavyoonyesha Utalii wa Tanzania Kocha Msaidizi wa Timu ya Barmingham City ya Uingereza, Andy Watson wakati walipokutana leo jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari kutoa taarifa kuhusu ujio wa timu hiyo nchini. (katikati) ni Mdau wa Habari Maulid Kitenge
Kocha Msaidizi wa Timu ya Barmingham City kutoka nchini Uingereza inayoshiriki ligi kuu nchini mwao Andy Watson (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO leo.
Kocha Msaidizi wa Timu ya Barmingham City kutoka nchini Uingereza inayoshiriki ligi kuu nchini mwao, Andy Watson (kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu maandalizi ya ziara ujio wa timu yao nchini Tanzania mwezi Julai. Kocha huyo amuja kuangalia mazingira ya viwanja.hoteli pamoja na miundombinu, ambavyo wameridhika navyo.Timu hiyo italetwa na klabu ya Simba Sports .
Daktari wa timu ya Barmingham City (kati) Ian McGuiness akiwa Edoo Kumwembe (kulia) na Mratibu wa Kampuni ya Hartman,Bw. Mbilinyi.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2011

    Edo kumwembe hebu mpige kibao huyo wametufunga Carling Cup final hao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2011

    Nilisoma kwenye gazeti moja la kila la kiswahili,FTT walikuwa wanalalamika eti Simba hawakuwataarifu kwa hiyo hawana taariba za ujio wa timu hiyo na kwamba mpira wa miguu Tanzania unasimamiwa na TFF tu..tunaomba ufafanuzi

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2011

    bwana michuzi zikiliza mzee wa kazi mimi mtanzania naishi hapa birmingham 2 miles from birmingham city stadium (st andrews)siyo kwamba simba inaileta timu ya birmingham kuja bongo.birmingham city wanakuja bongo between jun and july na watakuwepo bongo kwa siku nne hao jamaa wemetumwa kuja kuangalia kama tuna facility na watacheza na simba na yanga wako kwenye tour kwa ghalama zao wenyewe kwa ushidi nenda BBC WM(west midland)radio usikilize maojiano muda ilikuwa 16:00 na 18:00 kwahiyo rage aache uongo mambo ya haibu sana kuongea uongo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2011

    FTT ndio nini? Mambo ya mpira yote TZ yapo chini ya TFF kama mnataka kucheza mpira unaotambulika, kupewa waamuzi na ulinzi!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2011

    rage ana onekana sio mbabaifu kama viongozi walio tangulia jengo lina ngara sasa mikaaba mibovu kaifuta hata heshima ya simba inaludi sasa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2011

    inaitwa season trip 4 preparation against leagueeee on aug

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...