Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu Mwenyekiti wa Kamata ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. Angela Kairuki wakimsikiliza Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi kwa makini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana akiongea wakati wa mjadala huo leo.
Viongozi wa Chama cha Wananchi CUF wakitoa maoni yao.
Viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi (kutoka kulia Bw James Mbati-Mwenyekiti, Samuel Ruhuza – Katibu Mkuu na Dkt Ndalichako Kessy-Mkurugenzi wa Mambo ya Nje) wakitoa maoni yao jinsi ya kuuboresha muswada wa sheria ya kuunda tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya ofisini kwa Spika leo.Picha na Prosper Minja- Bunge
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...