Angela Mwiki (kulia) na mpambe wake wakifungua dansi wakati wa mnuso wa Pre-wedding yake usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mwika jijini Dar. Mwiki, ambaye ni mwalimu huko Marangu, Moshi, ndiye alikuwa Miss Kilimanjaro mwaka 2006 na leo ndio anameremeta
Keki ya Angela
Angela akitoa keki kwa wakweze
MC akimtambulisha mtarajiwa, Bw. Baltazar Francis.
Kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. everybodyMay 08, 2011

    Kwa kweli nimepata hamu ya kurudi bongo jamani. Tuongee ukweli kwa sisi tulio huku ughaibuni (nje ya Tanzania) hatuenjoy kabisa. Starehe ziko bongo, harusi zipo bongo, sherehe zipo bongo. Huku kila mtu anajifanya yupo bize. Nimeangalia hii clip pamoja na hiyo hapo juu ya kimwana wa twanga pepeta nimepata hamu kubwa ya kurudi bongo jamani. aaahhhh

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2011

    Wooowww!! Mamito ulipendeza sana mpenzi.May GOD bless you in ur marriage life with ur husb B.
    From ur friend Ney A.

    ReplyDelete
  3. wowow nimefurai sana kuona rafiki yangu amepata wa pingu za maisha ,mwenyeezi mungu akupe maisha mema na ya furaka katika ndoa,mimi ni Mr Howard kombe kutoka marekani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...