Home
Unlabelled
SEND OF YA WINE BANDA YAPENDEZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani kwani ni lazima mpake make-up nyingi mpaka uzuri wenu unakuwa hauonekani? Chukueni mfano wa Kate alivyoolewa na Prince William, make-up zake zilikuwa kidogo sana ndiyo maana tuliona uzuri wake wa kuzaliwanao. Punguzeni kidogo kina dada.
ReplyDeleteGoodluck and all the best Wine(Wini?).Ndoa inahitaji uvumilivu, maisha ya ndoa ni mazuri sana yaani kama mnaelea vile au mnaogelea majini...Kuna wakati mtakutana na mawimbi makubwaaa(Hayo hayakwepeki),marefu ya kutisha huko safarini..yaani ya kutisha, lakini komaaa nayo mungu atawasaidia, ukiwa mzembe unazama..mwenzio anakuacha.Unavyocheka hapo manake umenielewa.Safi sana
ReplyDeleteDavid Villa
Tafadhali wadogo zangu, tutumie lugha vizuri iwe kiingereza au kiswahili, tusipende pinde au kubadilisha inaleta maana nyingine au kutoletaa maana hata kidogo tunavyotumia lugha kimakosa au sijui ni fesheni.
ReplyDeleteSend Off ni tofauti na send of
Party ni tofauti na part...
kama vile ujasiliamali au ujasiriamali?
kwahivyo London itakuwa Rondon au vipi?
Ninaweza kuelewa labda kutamka kunaleta ugumu kwa mazowea za lugha zetu asili zinatuzowesha ulimi uwe hivyo, je kuandika nako vipi?
MAKE-UP nyingi Wasichana na wanawake punguzeni jamani, natural beauty ni nzuri kuliko kuweka miwancha mingi namna hiyo!
ReplyDeleteWanaume mturekebishe! sisi wanawake huwa tunahisi labda wanaume wanapenda sana make ups zetu....
ReplyDeleteSemamnachotaka tutafanya tu ili kuwaridhisha nyie.
Sasa huyo dada anaitwa Wine (mvinyo)? ama anaitwa Winnie?
ReplyDeleteJamani hyo miwanja?Kusema ukweli ni vizuri kujiremba kiasi,na ukizingatia wao ni wasichana wadogo tu,na warembo kwanini wakakubali kuharibu picha?Namshauri siku ya harusi asijirembe hivyo tena
ReplyDelete