Mratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akitoa utaratibu mbalimbali kuhusiana na shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakiwa katika pozi la picha mara baada ya kuingia kambini leo,shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu na limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakisoma kanuni na sheria za shindano hilo mara baada ya kuingia kambini leo,shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu na limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...