Maofisa Masoko wa Benki ya CRDB, kutoka kushoto ni Ninael Munuo na Edwin Nchimbi wakiwahudumia wateja waliofika katika banda lao ili kupata taarifa mbalimbali za huduma za kibenki zinazotolewa na benki hiyo. huduma
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma ya kuchua fedha kutoka katika matawi yanayotembea ‘CRDB MOBILE BRANCHES’  katika Viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya kwanza ya Maonyesho hayo.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...