Kampuni ya Framland Logistics inauza matofali imara ya mashine
(vibrated blocks) ya kokoto (chipping blocks) na pia ya kawaida kwasize zote i.e. inches 6'' , 5'' na pia ya 4''.Kwa matofali ya uhakika na imara kwa ujenzi, wasiliana nasi kwa namba+255762089225 ama +255656763104. Tunaweza kusambaza kote Dar es salaam kwa bei nafuu kabisa.Tunasambaza kwa wateja binafsi wajengao nyumba na kampuni za ujenzi.Nyote mnakaribishwa!
Home
Unlabelled
habari njema kwa wanaotaka kujenga nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mpo Dar sehemu gani? Kutoa namba ya simu peke yake haitoshi tunataka maeneo mlipo ili tuangalie gharama za usafirishaji. Tutajieni bei za matofali yenu na kama mnatoa usafiri kwa utaratibu gani.
ReplyDeleteUngetuwekea na bei maana tuanze kupiga hesabu vizuri.
ReplyDeleteBwana michuzi tunashukuru kwa libeneke ila naomba uwe na sheria fulani fulani kwa hawa watu wanaotoa matangazo ya biashara. NI LAZIMA WATOE BEI , Watanzania tuacheni mambo ya Bla Bla.
ReplyDeleteTunakuomba utoe sheria kwamba mwenye biashara yake lazima atoe bei ,hasa kama mtu anauza kitu maalumu kama Gari au tofali maana tunapotezeana muda; kusoma posting halafu unaambiwa upige simu.
physical address mbona hamjaweka?????? You have to be serious you guys
ReplyDeletebei ya tofali la kawaida ni ngapi? unajuwa maswali mengi yanakuwa ni watu kama sisi tuliokuwa mbali hupenda kuwekewa full ditalls ili tujipigie mahesabu na kuongeza bidii kwenye hizi kazi zetu za kubeba maboks na hatupendi kutumilia watu wa nyumbani kwa masuala kama hayo kwani wanatuumiza sana wanatutia ndani mpaka tunajuta kufanya jambo huko nyumbani
ReplyDeleteBei haikuwekwa kwa sababu wadau wengine nao wataanza kurekebisha bei zao kulingana na bei zetu.
ReplyDeleteUtawala
Biashara ni makubaliano ya pande mbili hivyo kijasiamari ukiweka bei nafasi ya kupata wateja inakuwa finyu sana kuliko kumwacha mteja aje moja kwa moja, unaweza weka bei mtu akalitafsiri tofari vinginevyo kumbe ni la quality ya juu, kuna bidhaa zingine ukiweka bei hakuna shida kwa kuwa ubora wake ni sawa worldwide
ReplyDeleteNaweza kujua width length and height ya tofali zenu
ReplyDeleteBei gani
ReplyDelete