Kampuni ya Framland Logistics  inauza matofali imara ya mashine
(vibrated blocks) ya kokoto (chipping blocks) na pia ya kawaida kwasize zote i.e. inches 6'' , 5'' na pia ya 4''.Kwa matofali ya uhakika na imara kwa ujenzi, wasiliana nasi kwa namba+255762089225 ama +255656763104. Tunaweza kusambaza kote Dar es salaam kwa bei nafuu kabisa.Tunasambaza kwa wateja binafsi wajengao nyumba na kampuni za ujenzi.Nyote mnakaribishwa!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2011

    Mpo Dar sehemu gani? Kutoa namba ya simu peke yake haitoshi tunataka maeneo mlipo ili tuangalie gharama za usafirishaji. Tutajieni bei za matofali yenu na kama mnatoa usafiri kwa utaratibu gani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2011

    Ungetuwekea na bei maana tuanze kupiga hesabu vizuri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2011

    Bwana michuzi tunashukuru kwa libeneke ila naomba uwe na sheria fulani fulani kwa hawa watu wanaotoa matangazo ya biashara. NI LAZIMA WATOE BEI , Watanzania tuacheni mambo ya Bla Bla.

    Tunakuomba utoe sheria kwamba mwenye biashara yake lazima atoe bei ,hasa kama mtu anauza kitu maalumu kama Gari au tofali maana tunapotezeana muda; kusoma posting halafu unaambiwa upige simu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2011

    physical address mbona hamjaweka?????? You have to be serious you guys

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2011

    bei ya tofali la kawaida ni ngapi? unajuwa maswali mengi yanakuwa ni watu kama sisi tuliokuwa mbali hupenda kuwekewa full ditalls ili tujipigie mahesabu na kuongeza bidii kwenye hizi kazi zetu za kubeba maboks na hatupendi kutumilia watu wa nyumbani kwa masuala kama hayo kwani wanatuumiza sana wanatutia ndani mpaka tunajuta kufanya jambo huko nyumbani

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2011

    Bei haikuwekwa kwa sababu wadau wengine nao wataanza kurekebisha bei zao kulingana na bei zetu.
    Utawala

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2011

    Biashara ni makubaliano ya pande mbili hivyo kijasiamari ukiweka bei nafasi ya kupata wateja inakuwa finyu sana kuliko kumwacha mteja aje moja kwa moja, unaweza weka bei mtu akalitafsiri tofari vinginevyo kumbe ni la quality ya juu, kuna bidhaa zingine ukiweka bei hakuna shida kwa kuwa ubora wake ni sawa worldwide

    ReplyDelete
  8. Naweza kujua width length and height ya tofali zenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...