![]() |
| Lady Jay Dee |
Its My Birthday today 15 June
Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwa ajili ya busara zake. Nampendaga sana Mama. Wadau wote nawakaribisha Nyumbani
Lounge leo saa mbili usiku kwenye mnuso
JIDE
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Timu nzima ya Globu ya Jamii inakupa hongera sana Jide kwa kuzaliwa leo. Mola akuafu na kukuzidishia moyo wa upendo Kwake na Mama Mbibo, ndugu, jamaa na marafiki.-Michuzi



Happy dirth day dada yetu, Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka.
ReplyDeleteHongere Dada ingawa hatujui umetimiza miaka mingapi?
ReplyDeleteObviously ndio kafikisha miaka 45... duu hongera dada yetu tartiibu unasogelea miaka 50 (aka nusu karne)
ReplyDeleteHongera Gemini mwenzangu. Ni juzi tu tarehe 13 nimetimiza ya kwangu.
ReplyDeletehappy birthday jd.uko juu!!!
ReplyDeleteJide kazaliwa 1979 jamani acheni kumzeesha mtoto wa watu nani kawaambia ana 45! nadhani wewe ndio un 45 sasa hivi. Hongera KOMANDOO JIDE Mungu akupe maisha mazuri hapa Duniani na ahera pia.
ReplyDeleteutaficha mpaka lini miaka yako? wewe unaonekana kabisa ni mtu mzima hata ukificha wewe ni kijeba tu
ReplyDeleteNapenda kukupa hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa! mungu azidi kukubariki na kubarikia kazi zako. kumbuka kutoa fungu la 10 kwa wale wahitaji wa kweli. mungu atazidi kukubariki.
ReplyDeleteNa sisi WanaYANGA wenzako tunakupenda sana.
Anony wa June 15 07:38;00 una matatizo ya akili.sidhani kama ni kauli njema ulizotumia.
ReplyDeleteHeri ya kuzaliwa dada Lady Jay Dee
hongera sana dada jeydee, hongera kwa kuufikia utu uzima na mafanikio kibao mungu akujalie maisha marefu kwani ni mwanamke jasiri sana na mpigania maendeleo
ReplyDeleteMbona hujamshukuru baba yako aliyechangia wewe kuwepo duniani? Hongera saaaaana komando wetu nadhani sasa utakuwa umetimiza miaka 45, si ndio eeh?. Mungu akuongezee miaka mingine 60 utumbuize ukiwa mzee kama rafiki yako Bi kidude.
ReplyDeleteMSIPATE TABU MIAKA YA MAMA MACHOZI NI 43 PIGA UWA
ReplyDeletehepi bethdei mama!
ReplyDeleteladygaga.
ReplyDeleteJamani,kama huna cha kuandika kaa kimya?inahusu nini kuanza kusema ana miaka 45, piga uwa amefika 43, wangapi wanasema birthday zao na wala hamshobokei kutaka kujua miaka yao??acheni mambo ya ajabu wadau..
ReplyDeleteLady J Dee ni STAR na ataendelea kuwa star,nyie bakieni na ohh ana miaka 45....
Happy birthday KOMANDOO JIDE..big up mama,napenda kazi yako.
Happy birthday, may you live long
ReplyDeleteacheni wivu it doesnt matter hw old jide is,hpy bthdy &congrats swt....lucy
ReplyDeleteHongera sana na usisahau kumshukuru baba pia. Bila kupotezea,nasemaga kwamba, hakuna mimba bila yai la mama kupata mbegu ya baba!
ReplyDeleteHappy Birthday Lady Jay Dee
ReplyDeletehepi besdei
ReplyDeleteLady Jay Dee, tunakutakia kila la heri. Pia tunamwomba Muumba wetu akulinde na akuzidishie mafanikio. Amin.
ReplyDeleteAma kweli TZ inaongoza duniani kwa PHD's (Pull him/her down syndrome). Mijitu mishenzi ina wivu na chuki dhidi ya watu waliopata mafanikio katika fani zao kama sister wetu mpenzi Lady Jay Dee. Muungwana akiambiwa mtu anasherehekea birthday yake basi muungwana atamtakia mtu huyo kila la heri. Lakini ma-losers wataanza kutukana. What a pity. Mimi najiunga na wale waote wanaomwambia Lady Jay Dee "Happy birthday to you LadyJayDee"!!!! Fatma from Chang'ombe, DSM.
ReplyDelete