Lady Jay Dee

Its My Birthday today 15 June
Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwa ajili ya busara zake. Nampendaga sana Mama. 
Wadau wote nawakaribisha Nyumbani 
Lounge leo saa mbili usiku kwenye mnuso
JIDE
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Timu nzima ya Globu ya Jamii inakupa hongera sana Jide kwa kuzaliwa leo. Mola akuafu na kukuzidishia moyo wa upendo Kwake na Mama Mbibo, ndugu, jamaa na marafiki.
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2011

    Happy dirth day dada yetu, Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2011

    Hongere Dada ingawa hatujui umetimiza miaka mingapi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2011

    Obviously ndio kafikisha miaka 45... duu hongera dada yetu tartiibu unasogelea miaka 50 (aka nusu karne)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2011

    Hongera Gemini mwenzangu. Ni juzi tu tarehe 13 nimetimiza ya kwangu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2011

    happy birthday jd.uko juu!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2011

    Jide kazaliwa 1979 jamani acheni kumzeesha mtoto wa watu nani kawaambia ana 45! nadhani wewe ndio un 45 sasa hivi. Hongera KOMANDOO JIDE Mungu akupe maisha mazuri hapa Duniani na ahera pia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2011

    utaficha mpaka lini miaka yako? wewe unaonekana kabisa ni mtu mzima hata ukificha wewe ni kijeba tu

    ReplyDelete
  8. Napenda kukupa hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa! mungu azidi kukubariki na kubarikia kazi zako. kumbuka kutoa fungu la 10 kwa wale wahitaji wa kweli. mungu atazidi kukubariki.
    Na sisi WanaYANGA wenzako tunakupenda sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2011

    Anony wa June 15 07:38;00 una matatizo ya akili.sidhani kama ni kauli njema ulizotumia.
    Heri ya kuzaliwa dada Lady Jay Dee

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2011

    hongera sana dada jeydee, hongera kwa kuufikia utu uzima na mafanikio kibao mungu akujalie maisha marefu kwani ni mwanamke jasiri sana na mpigania maendeleo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2011

    Mbona hujamshukuru baba yako aliyechangia wewe kuwepo duniani? Hongera saaaaana komando wetu nadhani sasa utakuwa umetimiza miaka 45, si ndio eeh?. Mungu akuongezee miaka mingine 60 utumbuize ukiwa mzee kama rafiki yako Bi kidude.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2011

    MSIPATE TABU MIAKA YA MAMA MACHOZI NI 43 PIGA UWA

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2011

    hepi bethdei mama!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2011

    ladygaga.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2011

    Jamani,kama huna cha kuandika kaa kimya?inahusu nini kuanza kusema ana miaka 45, piga uwa amefika 43, wangapi wanasema birthday zao na wala hamshobokei kutaka kujua miaka yao??acheni mambo ya ajabu wadau..
    Lady J Dee ni STAR na ataendelea kuwa star,nyie bakieni na ohh ana miaka 45....
    Happy birthday KOMANDOO JIDE..big up mama,napenda kazi yako.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2011

    Happy birthday, may you live long

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 15, 2011

    acheni wivu it doesnt matter hw old jide is,hpy bthdy &congrats swt....lucy

    ReplyDelete
  18. mtoto wa CoastJune 15, 2011

    Hongera sana na usisahau kumshukuru baba pia. Bila kupotezea,nasemaga kwamba, hakuna mimba bila yai la mama kupata mbegu ya baba!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 15, 2011

    Happy Birthday Lady Jay Dee

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 15, 2011

    hepi besdei

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 15, 2011

    Lady Jay Dee, tunakutakia kila la heri. Pia tunamwomba Muumba wetu akulinde na akuzidishie mafanikio. Amin.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 15, 2011

    Ama kweli TZ inaongoza duniani kwa PHD's (Pull him/her down syndrome). Mijitu mishenzi ina wivu na chuki dhidi ya watu waliopata mafanikio katika fani zao kama sister wetu mpenzi Lady Jay Dee. Muungwana akiambiwa mtu anasherehekea birthday yake basi muungwana atamtakia mtu huyo kila la heri. Lakini ma-losers wataanza kutukana. What a pity. Mimi najiunga na wale waote wanaomwambia Lady Jay Dee "Happy birthday to you LadyJayDee"!!!! Fatma from Chang'ombe, DSM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...