Libyan leader, Moammar Gadhafi

The International Criminal Court issued arrest warrants Monday for Libyan leader Moammar Gadhafi and two of his relatives.

ICC Judge Sanji Mmasenono Monageng read aloud the decision to issue warrants for Gadhafi, his son Saif al-Islam Gadhafi and brother-in-law Abdullah al-Sanussi.

Saif Al-Islam Gadhafi is a close adviser to his father. His arrest warrant came two days after his 39th birthday. Al-Sanussi serves as Gadhafi's head of intelligence.

The warrants are "for crimes against humanity," including murder and persecution, "allegedly committed across Libya" from Feb. 15 through "at least" Feb. 28, "through the state apparatus and security forces," the court said in a news release.

African Union holds Libya peace talks Back to school in Misrata Protesting for, against Gadhafi in Libya Libyan families reunited in war

SOURCE:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yoweri GadafiJune 27, 2011

    john mashaka pia apelekwe mahakama ya kisutu kwa maana amemuandama dagafi na wachina na vijiatiko vyake hapa. watu wanaotetea africa ndo hao wanaowindwa na icc kwa kuwa hawaimba nyimbo za wamarekani.. mashaka anza kunyea debe na wewe unaswekwa segerea kwa wanaume

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2011

    Haya sasa wathungu wameamua kuwafunga viongozi wa Africa wasiowapigia magoti. Na kweli watakachofanya ni kumkata na kumfunga gerezani. Haya bwana yetu macho!
    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2011

    Duh....mnamwonea sana huyu mzee!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2011

    watu wengine bwana, wanatumia nyuma kufikili. sasa mashaka anahusika vipi na gadaffi? nyambaf sana

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2011

    hawa watu waende libya na kutupa mabomu na kuua watu wanavyotqka kwa kisingizio eti wanawasaidia rebels. mbona wao hawapelekwi icc. jamani waafrica tufungue macho juu ya hii icc. hii icc imekuwa chombo cha kuwaadhibu viongozi wa africa ambao wazungu hawawataki.. waafrica ni lazime tulaani huu uonevu bila kuogopa. tusipo kaa macho tutarudi kutawaliwa. hii yote ni uzembe wa viongozi wetu ambao wanapenda omba omba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2011

    Mnajiita mna viongozi sasa. Viongozi wanafurahi migogoro ikitokea mana ndo vikao vinaongezeka na per dm

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2011

    Inasikitisha kuona kuwa viongozi wa Ki-Africa wanaonewa na kupelekwa jela (ICC)kwa sababu za ukoloni mambo leo. Linalotia uchungu zaidi ni kuona kuwa viongozi wengine wa nchi za Ki-africa kama TZ, Africa ya Kusini, Nigeria, Ethiopia, Uganda, Kenya n.k wako kimya. Lakini wajuwe kuwa hayo yanayotokea Libya leo hii, kesho yatawatokea pia, kama sio wao basi kwa viongozi watakaowarithi. Miaka miwili au mmoja uliopita Rais Gadafi hakujuwa kama atapelekwa ICC, ndiyo maana kuwa na umoja ni muhimu sana. Inasikitisha kuona kuwa Rais wa Uganda anatoa nafasi ya kumkaribisha Gadafi aende Uganda, badala ya kupiga kelele ya kuomba amani kwenye umoja wa nchi za Kiafrica. Kweli Africa hatuna viongozi, ila tuna walaji tu!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2011

    hao ICC si waende Somalia???

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2011

    Kama msomi wa vitabu utaona system mpya ya kurudi Afrika na kuitawala inapangwa.
    Nchi kibao zina madkteta na zipo kwenye mpango wa kuanzishiwa vita .Hawa jamaa wanachukuwa nchi hadi nchi.Baada ya hapo nadhani wataelekea Sudan na baadhi ya nchi nyingine.
    Afrika tuamke ,ukiona kwa jirani kunaunguwa......
    Uamuzi wa nchi za Afrika ni wa Afrika..nchi yeyote ya kiafrika ikipandikiziwa mamluki na kusaidiwa na Nato kuna atakae pinga kwa sasa ? Hatupo pamoja ndiyo maana na hatuna kauli ya pamoja.

    1 Hata kama Ghaddafi anakesi ya mauaji ana haki ya kuishi nchini kwake kama mfungwa siyo kuhama kama wanavyotaka Nato.
    2 Utupaji wa mabomu unasababisha matetemeko ya ardhi na uharibifu wa hali ya hewa,sasa Nato wanaweza kuwalipa wanachi wa Afrika kwa hilo?

    Kumbukeni Libya ilikuwa nchi ya nne kwa utajiri Afrika na ilikuwa inatowa msaada wa kijamii kwa wananchi wake,asilimia zaidi ya 80 ya nchi za Afrika haziwezi kufanya hivyo,zinategemea mikopo tuu.

    Ukiachana na Gadafi ,Mugabe nae aliwakosea nini?

    Kama uongozi wa kurithishana ni karibu nchi zote za Afrika zina mfumo huo.
    Waafrika wa sasa hawaitaji vita kama njia ya kutatua matatizo bali demokrasia kama wanavyofanya nchi za magharibi.
    Nchi za magahribi zinamatatizo makubwa sana ila zinatatuwa kwa mazungumzo,sasa kwa nini zianzishe vita kwenye nchi kama Libya na kutumia hela nyingi kuharibu badala ya kuwasaidia walibya kuanzisha mijadala kupinga uongozi kimataifa kwa kushirikiana na cnhi nyingine.
    Ujumbe wangu kwa nchi za Ulaya ni.

    Warudi kuishi kwenye nchi za Afrika kwa amani kama wanavyofanya wenzao wachina na siyo kwa njia ya ukoloni mamboleo kama wanavyodhania.Wasipoangalia inaweza tokea yale ya Kibanga ampiga mkoloni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...