![]() |
Libyan leader, Moammar Gadhafi |
The International Criminal Court issued arrest warrants Monday for Libyan leader Moammar Gadhafi and two of his relatives.
ICC Judge Sanji Mmasenono Monageng read aloud the decision to issue warrants for Gadhafi, his son Saif al-Islam Gadhafi and brother-in-law Abdullah al-Sanussi.
Saif Al-Islam Gadhafi is a close adviser to his father. His arrest warrant came two days after his 39th birthday. Al-Sanussi serves as Gadhafi's head of intelligence.
The warrants are "for crimes against humanity," including murder and persecution, "allegedly committed across Libya" from Feb. 15 through "at least" Feb. 28, "through the state apparatus and security forces," the court said in a news release.
African Union holds Libya peace talks Back to school in Misrata Protesting for, against Gadhafi in Libya Libyan families reunited in war
SOURCE:
john mashaka pia apelekwe mahakama ya kisutu kwa maana amemuandama dagafi na wachina na vijiatiko vyake hapa. watu wanaotetea africa ndo hao wanaowindwa na icc kwa kuwa hawaimba nyimbo za wamarekani.. mashaka anza kunyea debe na wewe unaswekwa segerea kwa wanaume
ReplyDeleteHaya sasa wathungu wameamua kuwafunga viongozi wa Africa wasiowapigia magoti. Na kweli watakachofanya ni kumkata na kumfunga gerezani. Haya bwana yetu macho!
ReplyDeleteMdau
Duh....mnamwonea sana huyu mzee!!
ReplyDeletewatu wengine bwana, wanatumia nyuma kufikili. sasa mashaka anahusika vipi na gadaffi? nyambaf sana
ReplyDeletehawa watu waende libya na kutupa mabomu na kuua watu wanavyotqka kwa kisingizio eti wanawasaidia rebels. mbona wao hawapelekwi icc. jamani waafrica tufungue macho juu ya hii icc. hii icc imekuwa chombo cha kuwaadhibu viongozi wa africa ambao wazungu hawawataki.. waafrica ni lazime tulaani huu uonevu bila kuogopa. tusipo kaa macho tutarudi kutawaliwa. hii yote ni uzembe wa viongozi wetu ambao wanapenda omba omba.
ReplyDeleteMnajiita mna viongozi sasa. Viongozi wanafurahi migogoro ikitokea mana ndo vikao vinaongezeka na per dm
ReplyDeleteInasikitisha kuona kuwa viongozi wa Ki-Africa wanaonewa na kupelekwa jela (ICC)kwa sababu za ukoloni mambo leo. Linalotia uchungu zaidi ni kuona kuwa viongozi wengine wa nchi za Ki-africa kama TZ, Africa ya Kusini, Nigeria, Ethiopia, Uganda, Kenya n.k wako kimya. Lakini wajuwe kuwa hayo yanayotokea Libya leo hii, kesho yatawatokea pia, kama sio wao basi kwa viongozi watakaowarithi. Miaka miwili au mmoja uliopita Rais Gadafi hakujuwa kama atapelekwa ICC, ndiyo maana kuwa na umoja ni muhimu sana. Inasikitisha kuona kuwa Rais wa Uganda anatoa nafasi ya kumkaribisha Gadafi aende Uganda, badala ya kupiga kelele ya kuomba amani kwenye umoja wa nchi za Kiafrica. Kweli Africa hatuna viongozi, ila tuna walaji tu!
ReplyDeletehao ICC si waende Somalia???
ReplyDeleteKama msomi wa vitabu utaona system mpya ya kurudi Afrika na kuitawala inapangwa.
ReplyDeleteNchi kibao zina madkteta na zipo kwenye mpango wa kuanzishiwa vita .Hawa jamaa wanachukuwa nchi hadi nchi.Baada ya hapo nadhani wataelekea Sudan na baadhi ya nchi nyingine.
Afrika tuamke ,ukiona kwa jirani kunaunguwa......
Uamuzi wa nchi za Afrika ni wa Afrika..nchi yeyote ya kiafrika ikipandikiziwa mamluki na kusaidiwa na Nato kuna atakae pinga kwa sasa ? Hatupo pamoja ndiyo maana na hatuna kauli ya pamoja.
1 Hata kama Ghaddafi anakesi ya mauaji ana haki ya kuishi nchini kwake kama mfungwa siyo kuhama kama wanavyotaka Nato.
2 Utupaji wa mabomu unasababisha matetemeko ya ardhi na uharibifu wa hali ya hewa,sasa Nato wanaweza kuwalipa wanachi wa Afrika kwa hilo?
Kumbukeni Libya ilikuwa nchi ya nne kwa utajiri Afrika na ilikuwa inatowa msaada wa kijamii kwa wananchi wake,asilimia zaidi ya 80 ya nchi za Afrika haziwezi kufanya hivyo,zinategemea mikopo tuu.
Ukiachana na Gadafi ,Mugabe nae aliwakosea nini?
Kama uongozi wa kurithishana ni karibu nchi zote za Afrika zina mfumo huo.
Waafrika wa sasa hawaitaji vita kama njia ya kutatua matatizo bali demokrasia kama wanavyofanya nchi za magharibi.
Nchi za magahribi zinamatatizo makubwa sana ila zinatatuwa kwa mazungumzo,sasa kwa nini zianzishe vita kwenye nchi kama Libya na kutumia hela nyingi kuharibu badala ya kuwasaidia walibya kuanzisha mijadala kupinga uongozi kimataifa kwa kushirikiana na cnhi nyingine.
Ujumbe wangu kwa nchi za Ulaya ni.
Warudi kuishi kwenye nchi za Afrika kwa amani kama wanavyofanya wenzao wachina na siyo kwa njia ya ukoloni mamboleo kama wanavyodhania.Wasipoangalia inaweza tokea yale ya Kibanga ampiga mkoloni.