(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Home
Unlabelled
libeneke la uchaguzi mkuu chuo cha usimamizi wa fedha IFM jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kasheshe. Yaani huyu yuko chuo kama IFM na anaandika hivyo kwenye bango. 'The Changes Is Here'. Shame! Our education system is in the doldrums.
ReplyDeleteNi mimi sijui kiingereza au?
ReplyDeleteHilo bango la mwisho linasema THE CHANGES IS HERE?
I suppose it's not correct as it was meant to say 'THE CHANGES ARE HERE' OR 'THE CHANGE IS HERE'.wadau nisaidieni..
THE CHANGES IS HERE ......
ReplyDeleteI HAVE CHANGES YOU WAITING FOR....
Ingawa nilisoma shule za kata lakini nina wasiwasi na Grammar ya hilo Tangazo, It is Broken English!
Changes is here? NO! "Changes are here" or " Change is here"
ReplyDeleteI have changes you waiting for? NO! " changes you were/are waiting for"
Vission? NO "Vision"
Hivi kwa nini tunatupa kiswahili kung'ang'ania lugha za watu? Hawa wasanii hamna kura! Bango kubwaaa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, kura wapate wenye mabango madogo hapo juu, "ati listi" wamejitahidi lugha za watu.
Nyie kweli ni wasomi maana "The changes is here" inaonyesha jinsi gani mlivyokwenda shule.
ReplyDeleteBongo tambarare!
Dah! Yaani hawa ndiyo wako IFM, na wanasimama kuomba uongozi; mweeeeh!!
ReplyDeleteKama anony wa tano alivyosema: Munadharau chenu na kuthamini cha watu wengine. Zuzu alimtelekeza punda wake wa miaka mingi kwa sababu ya Pickup. Kama wote tunavyojuwa Punda anahitaji majani tu. Lakini Pickup inahitaji: utaalamu wa kuendesha (kibali), ni deadly machine, inahitaji vipuri, mafuta, Utaalamu wa kukarabati nk. Baada ya miezi kadhaa punda aliuguwa na akafariki kwa kukosa matunzo. Na baada ya miaka michache pickup pia ikawa kibanda cha kulala kuku!Mmh!mambo.
ReplyDeleteTumkaribishe Waziri wa Elimu atueleze maana yake nini? Mtu kafika chuo na anaandika hivyo. Ana mpango gani wa kuboresha viwango? Unajua cha kwetu ni kizuri tena sana. Lakini hali halisi ni kwamba Kiingereza ndiyo lugha ambayo inatumika zaidi kielimu duniani kote kielimu na hata wasomi wanaoanadika kichina, kijapani, kijerumani wanapanua usomaji wa mabuku na mapaper yao kwa kutafsiri kwa Kiingereza. Kwa hiyo hazina kubwa zaidi ya elimu imetunzwa katika lugha ya Kiingereza. Tusipokielewa kiingereza ni kwamba tumeamua kutoelewa na kutoeleweka katika dunia ya kisomi.Waziri atueleze ana mpango gani? Tatizo hili ni la siku nyingi na linazidi kukua
ReplyDeleteMakosa ya upatanisho wa kisarufi na tahajia yanaonesha wazi kwamba shule hapo haikukaa vizuri sana.
ReplyDeleteHalafu hawa ndio wanataka kuendesha nchi hii. Kiswahili chenyewe wanaandika Atunaye ndio hatunaye hiyo. Wao kusikiliza muziki wa kimarekani. Wenzenu hawajui english vile vile. Mmarekani akifika chuo kikuu lazima apasi level zote za english ndio asogee mbele. Pamoja na kua english sio lugha yake. Nyie hamjasoma essay zao. Akiwa mhasibu na Advance diploma report ya hesabu na maelezo yake inabidi uwe mkalimali wa lugha za mataifa yote ndio ifahamike. Kazi kweli kweli!!!!!! Ngoja wagome usikie matusi yao.
ReplyDeleteWHAT A LOOSER!!!!
ReplyDeleteKama amevurunda kwenye hilo tangazo, Je akipata uongozi itakuwaje?
Na uongozi wa chuo unakubali tangazo kama hilo bila kulipitia, aibu gani wanaonyesha hapo? tena mbele ya lango la chuo, wapita njia wote wanasoma!!
Tusubiri kama atapita, tutaelewa hicho ni chuo cha ma loooooooo(..ser)
ifm nayo ni zoa zoa tu ili mradi kuongeza idadi ya watu waliokwenda shule.
ReplyDeleteNa wewe hapo juu sio "Looser" ni Loser
ReplyDeleteHuyo wa mwisho ana makosa mengi sana ya grammar, hapo kwenye mission alitakiwa aandike ''TRANSPARENCY'' na sio TRANSPARENT kutokana mtiririko wa maneno yaliyo kwenye mission hiyo!
ReplyDeleteNchi yetu inaelekea kubaya zaidi kuliko kule tulikotoka!!
WHAT!HALAFU ETI NI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU,MAAJABU
ReplyDeleteDirect translation from Swahili to broken English.
ReplyDeleteBTW Have you guys read the whole stuff?, yaani hilo bango mmelisoma had chini?, huko ndiko kuna broken kingereza hadi basi....mfano; TRANSPARENT badala ya TRANSPARENCY...kazi ipo.
ReplyDeletewoe is the state of our education !!
ReplyDeleteNa wewe Anonymous wa 09:36 AM unawakosoa watu wanaoandika kiswahili kwa makosa ATUNAYE badala ya HATUNAYE na wewe umeboronga kiswahili sio ¨pamoja na KUA English sio lugha yake¨ neno sahihi ni ¨ pamoja na English KUWA sio lugha yake¨
ReplyDeleteGuys we need to pray for this country, maana viongozi have not got a clue about what to do. Hata wanaopiga kelele kutaka kuchukua madaraka as an alternative government sijui kama wanajua watafanya nini wakipata madaraka- maana nao eti kwenye chaguzi za vyama vyao kuna rushwa na ubaguzi. Hivi Michuzi kweli huwezi kupata comments za Waziri wa Elimu kuhusu hilo bango? Please try and get him to comment.It would be interesting to hear what he has to say about what it means about the state of education in this country. Ukweli wa mambo hata kama Kiingereza si chetu, inabidi tukielewe vizuri kwa maana tunajifungia mengi kielimu na kimaarifa kama hatuelewi hiyo lugha. Kibaya zaidi ni kwamba hata aliyeandika hajui kwamba hajui na kwa hiyo hana mpango wa kufanya bidii ajue. Karidhika na hicho ambacho anadhani anajua na kajiandikia bango na kuanika kutojua kwake.
ReplyDeletesasa niye woote mnaowakosoa hao waloandika hilo bango , sasa naomba niwaulize ili uwe kiongozi mzuri ni lazima ujue english ? mbona wachina hawajui kizungu mpaka raisi wao ? na kwanza hicho ni chuo cha IFM cha fedha na sio CHUO CHA KIDHUNGU ... SAWA ? MPOOOOOO
ReplyDeleteSiyo lazima ujue Kizungu ili uwe Kiongozi. Lakini huyu si anasoma jamani na anasoma Institute of Finance Management. Niambie kitabu kimoja at tertiary level cha Finance au Economics au Accounting kilichoandikwa kwa Kinyakyusa au Kibondei! au Kiswahili. Lugha ya usomi kwa ngazi hiyo, na hili linazidi kushika kasi duniani kote, lugha ni kiingereza. Hata kwa wasomi wazungu continental Europe uelewa wa Kiingereza ni kitu kinachozidi kuwa muhimu siku hadi siku. Rais wa Uchina hajui Kiingereza? Sijui. Mimi najua Chou Enlai (PM wa zamani wa Uchina)alikuwa anajua na anajaua Kifaransa fluent kabisa lakini alikuwa natumia cha kwao Mandarin hadharani.Mimi ningekuwa Rais wa Tanzania nisingedharau Kiingereza ni muhimu kukijua ili kuelewa mambo ya Dunia. Lakini hadharani hata ningekwenda Uingereza ningezungumza Kiswahili as matter of national pride. Tusidanganyike eti hawa jamaa kwa vile wanazungumza Kichina hata wakiwa nchi za watu hawaelewi Kiingereza. Besides China nchi kubwa na ina wasomi na knoledge base kubwa ilioandikwa na kuhifadhiwa kikwao katika kila fani na hata hivyo Kiongozi wa kule asipoelewa ana competent interpreters wa lugha nyingi tu za kimataifa (Kiingereza, Kisawahili, Kifaransa, Kijerumani etc). Wenzetu take language and studying/learning in general very seriously- nashangaa kuna ndugu zangu mko tayari kusema huyu jamaa kaboronga lakini it is okay, it does not matter. Why bother kama mnaridhika na kitu sub-standard? Tukubali tu huyu jamaa katutia aibu hajui na hajui kwamba hajui na ni aibu kuanika kutokujua kwako hivi.
ReplyDelete