Kaka Michuzi pole ka kazi, 
Naomba kama utaona inafaa unipeperushie haka ka ujumbe kangu kwenye blog yetu ya jamii, nikiamini kuwa inasomwa na watu wengi na wa rika tofauti.

Ninaishi hapa ulaya,nina miaka 40 sasa, na kwa sasa ninasoma MA ya biashara na utawala katika chuo cha Tilburg hapa Holland. Ningependa kupata mwanamke/ mwenza wangu wa maisha,tatizo ninatak amwanamke wa kutoka nyumbani. Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 30- 35.

Kwa yoyote atakependa kuwasiliana na mimi email yangu ni johnboko@ymail.com toka hapo tutawasaliana zaidi

ASANTE SANA KAKA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2011

    jamani inamaana sisi wa under 30 umetutenga?haya kaka mafanikio mema.ngoja tusubiri wanaohitaji wa <30

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2011

    Nenda Facebook jitambulishe huko...watakuona wewe kwa picha nawe utawaona kwa picha!!...facebook ni suluhisho lako bro! Kila la heri!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2011

    Je uholanzi unaishi kama nani? Je unamalengo gani baada ya kumaliza masomo? Je utaishi nae wapi huyo mchumba?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2011

    njoo zako BELGIE wapo kibao kutoka nyumbani ..............

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2011

    BELGIE!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2011

    Duh,mwanangu hiyi age yote ulikuwa wapi kuoa? Hili ndo tatizo la wasomi, mnang'ang'ania sana laptop hadi mnasahau kuwa kuna social life. Tazama sasa unaanza kutafuta mchumba kwenye internet! Na usipokuwa makini mtaachania huko huko kwenye internet!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2011

    unaitwa nani?kama vile nakufaham

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2011

    endelea kupiga ngunga mjomba mwanamke atakutia wazimu na elimu yako ya uzeeni. mtu hatafutiwi mke utletewa tasa au totosa ulaumu watu. piga ngunga mjomba ndo solution!!!teh teh teheeeeeeeee

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2011

    Mie nina miaka 42 naishi USA utanitaka???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...